Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Mikutano tu mnamzingua ndio itakuwa kutembelea bandari, wakurugenzi wenyewe wakuteuliwa na ccm, nani atampa nafasi hiyo.
 
dr slaa kaza buti ujue jinsi ya kuendesha nchi 2015 nchi yako hii!
 
Wakuu wetu
1. Zitto Zuberi Kabwe
2. John J Mnyika
3. Tundu Lissu
4. Joshua Nassari
5. Kitila Mkumbo
6. Tumaini Makene

With all due respects hebu naombeni msaada wa kueleweshwa rationale na funding behind this study
tour

Nchi ya demokrasia na maendeleo,nguvu ya wananchi ni pamoja na kupata taarifa sahihi kwa wakati kutoka vyanzo sahihi na vinavyoaminika

Juzi kuna mama mmoja mke wa Raisi alikodi ndege kwenda jimbo falni la USA labda pale Ikulu waweke wazi sasa chanzo halisi cha huyu mama kukodiwa ndege...
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Tunajua kuwa madrasa hawafundishi herufi na namba za kirumi. Na wewe unaonaje ukaacha kutumia kitu hukijui, ukatumia tu hizi za kiarabu?...
 
Juzi kuna mama mmoja mke wa Raisi alikodi ndege kwenda jimbo falni la USA labda pale Ikulu waweke wazi sasa chanzo halisi cha huyu mama kukodiwa ndege...

Ni kweli na aliuleta mkuu nguu007 na tuliujadili hapa kama kawaida ukageuzwa vita ya kivyama kama huu unavyochukua mrengo wa kichama kuliko kitaifa
 
Here is an article by the World Bank on How Dar Port can Transform Tanzania: Opening the Gates: How the port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania

The Full Report can be downloaded here: Tanzania economic update : opening the gates : how the port of Dar es Salaam can transform Tanzania (English) | The World Bank

Press Release: Tanzania Could Boost its Economy by Reforming the Port of Dar es Salaam - World Bank

Related blog, which was published in The Citizen, titled "If I had three minutes with President Jakaya Kikwete" can be accessed here: If I had three minutes with President Jakaya Kikwete

It is clear that the main reason for lack of serious efforts to modernize the port is VESTED INTEREST. Kama alivyosema Dr.Slaa, watu wanachaguliwa kindugu, hawana sifa zinazostahili, na hawana nia ya kuboresha kwa kuwa wananufaika na hali iliyopo.
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

"Wivu mbaya ukidiliki utakonda" nimeanza kwa kukuambia hivyo japokuwa najua moyo wako unajua umuhimu wa safari ya Dr. Slaa.

Commander In Chief AMESANDA kuhutubia Taifa, mueleze mshua huku mtaani Jamaa wanasubiri kauli yake, ila hatujui atakuja na single ipi. kama una dondoo tujuze......
 
Si mlikuwa mnamsema kikwete anakula nchi cheki padri slaa anakula kuku tukimpa nchi ataiuzi nchi kwa wazungu
 
Dr slaa ni Mtu makini na ni azina pekee tulio nayo watanzania, ila uyu first lady wetu simkubali
 
Si mlikuwa mnamsema kikwete anakula nchi cheki padri slaa anakula kuku tukimpa nchi ataiuzi nchi kwa wazungu

kwanini vijana wa Lumumba wanaongoza mitandao yeto kwa kuandika pumba na comment za kizushi,kishabiki bila hata kuzingatia maslah ya Taifa?
Jk anasafari ngapi na dr anangapi na zipi zina tija?
 
Dr slaa ni Mtu makini na ni azina pekee tulio nayo watanzania, ila uyu first lady wetu simkubali

Bado najiuliza sipati jibu, nafasi ya huyu mama mke wa slaa katika ziara hii. Mama Mshumbusi ni sehemu ya ujumbe wa Chadema au anampa kampani mumewe??
Kama anampa kampani mumewe si angebaki hotelini tu amsubiri mumewe arudi?
Manake protocal inayotumika hapo sijui ni ipi, kwamba upande huu ni Uongozi wa Bandari(etc) na upande wa pili ni mtu na mkewe, ni ziara ya kifamilia au??
 
Dr. Slaa anaendelea na safari yake ya kujifunza inayoitwa “Vision Tanzania” ambayo leo imemfikisha moja ya bandari kubwa nchini marekani. Bandari ya Mobile Alabama ambako alipokelewa na mkurugenzi wa Shirika la Alabama Ports Authority
Shirika la Alabama Ports Authority inapitisha makontena 100 kwa lisaa limoja na mizigo inayozidi tani million 30 kwa mwaka na kuipa shirika hilo linalojitegemea kiasi cha dola za kimarekani million 152 kwa mwaka ambazo ni faida. Shirika hilo lina wafanya kazi 600 tu, lakini imeweza kutoa ajira ambazo siyo za moja kwa moja 280,000.

Bandari ya Alabama inajitegemea kiuendeshaji; haliingiliwi na uongozi wa jimbo. Utekelezaji wa bandari hii ni wa kipekee kwa sababu mizigo uondoka bandarini punde tu zinapowasili au chini ya siku tatu. Alichojifunza Dr. Slaa katika ziara hii ni kwamba, mashirika ya umma yanaweza kufanya kazi kwa ufaninisi mkubwa pasipo uingiliaji wa kisiasa.

Dr. Slaa pia amejifunza kwamba, kama jimbo dogo kama Alabama inaweza kupitisha tani million 30 kwa mwaka, basi Tanzania inaweza kupitisha tani million 100 kwa mwaka kutokana na jiographia yake. Dr. Slaa anaamini kwamba Bandari ya Tanzania inaweza kuajiri vijana 350,000 chini ya utawala wa Chadema.

Dr. Slaa anaamini kwamba, mashirika ya umma kama bandari hayana ufanisi kwa sababu waendeshaji wake wanateuliwa kiurafiki na kindugu bila ya kuzingatia uwezo wa mtu. China ya utawala wa Chadema haya yote yatafikia kikomo kwa manufaa ya watanzania wanaoumia na umasikini

attachment.php

Dr. Slaa Akipokelewa na Mkurugenzi wa Mkuu wa Bandari ya Mobile Alabama
attachment.php

Mkuregenzi mkuu wa Bandari akitoa maelezeo kwa Dr. Slaa
attachment.php

mashine (crane) zinazotumika kunyanyua kontena
attachment.php

Sehemu maalum ya kushusha kontena
attachment.php

Mashine nzito bandarini ikishusha mizigo

Alabama Business Council.

Dr. Slaa amekutana na viongozi wa juu wawili wa “Alabama Business Council” Katika chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ajili yake na taasisi hiyo. Mwenyekiti wa Alabama Business council ameahidi kuhamasisha makampuni makubwa kwenye jimbo la Alabama kumsaidia Dr. Slaa na Chadema kunyunyua uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza kwenye sekta mbali mbali za uchumi wa Tanzania kama Kilimo, elimu, viwanda, miundombinu nishati nk.

attachment.php

Dr. Slaa akipokelewa na kiongozi wa Alabama Business Council ambaye pia alikuwa msaidizi wa Rais Bush Snr. kwenye maswala ya kiuchumi
attachment.php

Dr. Slaa na Msaidizi wa zamani wa Rais Bush wakiwa katika majadiliano
attachment.php

Chakula cha jioni iliyotayarishwa kwa ajili ya Dr. Slaa
attachment.php

Dr. Slaa akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa rafiki yake​

i am seriously admiring you, your excellence Dr. W.P.Slaa. Tanzania needs visionaries like you.

utaanzia sio pabaya sana kimiundo mbinu eg barabara....kazi yako kubwa itakuwa ni kumodernise economy yetu.....

God Bless!
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Haya ndio madhara ya kusoma shule ya kata ina mwalimu mmoja wa history lakini huyo huyo anafundisha na mathematics. Unafahamu hicho ulichokiandika kweli au unaandika tu kwa ajili ya kupata posho.
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Mkuu Ritz kwa sasa Mwigulu Nchemba yupo Marekani pia kwa safari za kichama, tupe episodes za trip yake huko. Anzia na episode ya kwanza ya kufungua tawi la CCM kwenye corridor. Otherwise itakuwa ni yaleyale ya nyani haoni kundule.
 
Kwa nchi za wenzetu kiongozi kupewa zawadi ya kitabu ni heshima kubwa. Maana yake ni kwamba aliyekupa kitabu anatambua upstairs upo vizuri, unaweza kusoma na kudigest contents ya kitabu chenyewe kwa manufaa ya jamii yako. Kwenye moja ya picha kwenye hii thread naona Dr. Slaa akikabidhiwa zawadi ya kitabu. Viva Dr. Slaa.

Short of that angekabidhiwa zawadi ya mpira wa miguu au CD ya muziki kama wangemwona ni mtu wa blah blah na mizaha ya kubembea.
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Inawaumiza sana hii bila shaka'
 
Hongera sana doctor tuliowaamini badala ya kufanya ya msingi kukuza uchumi wakiend nnje wanaishia kwenye bembea na clab za muziki piga kazi jembe 2015 kitaeleweka tuu mungu yu nasi
 
Dr. Slaa pia amejifunza kwamba, kama jimbo dogo kama Alabama inaweza kupitisha tani million 30 kwa mwaka, basi Tanzania inaweza kupitisha tani million 100 kwa mwaka kutokana na jiographia yake. Dr. Slaa anaamini kwamba Bandari ya Tanzania inaweza kuajiri vijana 350,000 chini ya utawala wa Chadema.
Uchumi Tumekalia - then kila kikicha kuzungusha BAKULI kwa majirani.
 
Back
Top Bottom