Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.
Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.
Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.
wewe kwa akili yako chafu unadhani dr slaa haujui ubabaishaji na ufisadi uliopo katika bandari zetu? mbona wote ukiwemo hata wewe mburula wanajua yanayotendeka ktk bandari zetu! hayahitaji study tour labda kwa maccm yaliyozoea tume za uchunguzi kwa kila inshu hata kama ziko dhahiri.