Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Ni haki yako kujua kama kweli nchi unayosema inaendeshwa kidemokrasia, lakini pia kama si wivu na hoja mbisho juu ya safari zenye muono wa mafanikio kwa watanzania.

Dawa ya wivu na ubishi unaousemea ni kuweka facts tu mkuu,taarifa baaas wala haina haja ya kulowesha kwapa kwa jasho!!!!!

Tuliambiwa ni wakulima na.wafanyakazi sasa ni wanasiasa na wafanyabiashara somo namba moja!!!!!

Tunaambiwa ni demokrasia na maendeleo ok bas kwa sasa tuanze na hili la taarifa ikiwa sehemu ya demokrasia ndio request yangu mimi!!!!!!

Movement for change tumeipokea na tunaikubali lakini ni lazima tubadilike ki vitendo na mwanzo mwema huonekana asubuhi ambayo ndio hii
 
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.

Atajifunza nini,au mikataba ya siri iliyosainiwa na Jk kuwaibia watz? Au unataka akajifunze wizi na ufisadi unaofanywa na serikali yake?
 
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama hauwezi kukusaidia kitu labda kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.

Hivi unaelewa MAUDHUI nzima ya Dr Slaa pale bandarini?Pamoja na kutaka kwake kujua utendaji wa bandari ya Alabama ulivyo lakini kikubwa anachotaka kuelewa ni namna mfumo na muundo wa kiutawala ulivyoathiri ufanisi wa bandari ya Alabama.Wenzetu kule States Serikali zinakuwa na very minimal interference katika shughuli za sekta mbalimbali za kiuchumi.Kwahiyo sekta hizo za kiuchumi hu-enjoy uhuru wa kujiendesha bila kuingiliwa au management za sekta hizo za kiuchumi hufanya maamuzi yenye lengo ya kuboresha utendaji na kuzidisha ufanisi katika utendaji ili kulinda masoko yao yaliyojawa na ushindani mkubwa.Hali ni tofauti katika sekta za kiuchumi za hapa Tz.
 
Huyo mwanamke kwenye picha ni josephine ? au? .......maana huyu mzee wa Cdm ni mfalme Mswati wa TZ ......anamzuga mama wa watu......peoplesssssss wote wake...........!!!!!!!!
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Acha ukilaza wewe nne kirumi huwa wanaandika IV sio IIII ulisoma wapi wewe? Eti ni mwanasheria hata sijaona umuhimu wa elimu yako katika field
 
Hakuna cha kujifunza kwenye Bandari zetu..

Kuwa CDM ni uchungu tosha kwa Tz..

Mtalii anajulikana..Mkuu wetu..mbona hatujaona picha zake?
Si nae alikua USA for 11 days?...
Unaweza kuniambia kajifunza nini hapa zaidi ya kupiga picha hiyo bandari ya Alabama kwanza aina lolote hizo mashine hata bandari yetu inazo.

Nikuwekee bandari bora kabisa za Marekani, bandari haina kazi hakuna meli.
 
Ama kweli magamba sijui ni ujinga ama ni kitu gani?Juzi Mwigulu Nchemba alisema anakuja Marekani ili ajifunze "wenzetu walifanyaje wakafanikiwa",akaishia kwenye sherehe za pilao na sasa yuko London.Kama ukitembelea nchi za watu na ukawa mtu wa kujifunza,halafu upo ama unatajarajia kuwepo kwenye nafasi ya uongozi,basi lazima utaleta mabadiliko.Ni mfumo wa ukoo wa panya ndo umeharibu nchi,but we can if we get leaders with vision and plans to get us there.Siyo kama magamba cowards ambao ubinafsi umewapofusha.Piga kazi Slaa,acha waendelee kubwabwaja,cha muhimu ni trip yako ya vision Tanzania ituimike kujifunza na kulisaidia taifa tujikwamuwe kutoka kwenye umasiki na ujinga uliokithiri,na si kuzunguka kuuza nchi na kutembeza bakuli.Halafu mnaita hii utalii,subirini muwekewe mambo ya kubembea Jamaica.

Kama ungepewa nafasi ya kushauri juu ya hili la ziara za viongozi nje ya nchi na kipindi kurushwa hewani na vituo vya televisheni mawazo yako yangebaki kuwa haya?????!!!
 
mwigulu kuwa raisi ndoto za kichaa inafikiria tanzania ipo iramba mjinga sana akili za kuku bhana nouma
 
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.
mlijibiwa jana kwamba matatizo ya Tanzania hayahitaji Ziara ili uyatambue - YANAJULIKANA.
 
Mkuu mimi naona hii tua inafaida kubwa kwa CDM kuelekea 2015. Majama ya Lumumba yanafika kwenye uchaguzi hayana jipya kwasababu yanawatuma wakubwa zao kubembea ulaya na china badala ya kuingiza nondo kichwani.

Ni njia bora zaidi kuliko zote ili kupata faida tarajiwa????!!!
 
Hivi unaelewa MAUDHUI nzima ya Dr Slaa pale bandarini?Pamoja na kutaka kwake kujua utendaji wa bandari ya Alabama ulivyo lakini kikubwa anachotaka kuelewa ni namna mfumo na muundo wa kiutawala ulivyoathiri ufanisi wa bandari ya Alabama.Wenzetu kule States Serikali zinakuwa na very minimal interference katika shughuli za sekta mbalimbali za kiuchumi.Kwahiyo sekta hizo za kiuchumi hu-enjoy uhuru wa kujiendesha bila kuingiliwa au management za sekta hizo za kiuchumi hufanya maamuzi yenye lengo ya kuboresha utendaji na kuzidisha ufanisi katika utendaji ili kulinda masoko yao yaliyojawa na ushindani mkubwa.Hali ni tofauti katika sekta za kiuchumi za hapa Tz.

Hili lilihitaji hardly one day with books on table and a thermos full of tea or coffee to be figured out!!!!!
 
Huyo mwanamke kwenye picha ni josephine ? au? .......maana huyu mzee wa Cdm ni mfalme Mswati wa TZ ......anamzuga mama wa watu......peoplesssssss wote wake...........!!!!!!!!

Hebu muacheni huyo mama hana ishu na huu mjadala kama mngeweza kuachana naye kila anapotokea pichani ujumbe ungefika pia.

If you take care of shillings....!!!!!
 
waulize wenye mamlaka ya kukusanya mabillioni ya kodi kila mwezi watakujibu.

Unapokuwa na gari mbili moja ikawa na tatizo la.injini basi ni busara kutengeneza bovu huku ukilitunza zima kwa hali yoyote au ni bora na hili zima liharibike uwe na mawili mabovu??????!!!!!!!
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Hii ni post yako pili kwa topic moja...
 
Dr.Slaa tunatakiwa tujifunze na sasa tuhamishie huo ujuzi kwetu nyumbani TZ!
 
Kujifunza ni tabia njema, n'a hii kwa wateule tuu, Si kila mtu anaweza. Bravo Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom