Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Kwa nchi za wenzetu kiongozi kupewa zawadi ya kitabu ni heshima kubwa. Maana yake ni kwamba aliyekupa kitabu anatambua upstairs upo vizuri, unaweza kusoma na kudigest contents ya kitabu chenyewe kwa manufaa ya jamii yako. Kwenye moja ya picha kwenye hii thread naona Dr. Slaa akikabidhiwa zawadi ya kitabu. Viva Dr. Slaa.

Short of that angekabidhiwa zawadi ya mpira wa miguu au CD ya muziki kama wangemwona ni mtu wa blah blah na mizaha ya kubembea.
Ha ha ha umenikumbusha yale masuti
 
Haya ndio madhara ya kusoma shule ya kata ina mwalimu mmoja wa history lakini huyo huyo anafundisha na mathematics. Unafahamu hicho ulichokiandika kweli au unaandika tu kwa ajili ya kupata posho.

Hahahaha moja ya vitu Ritz anavyovipenda ni kuandika post kwa kiingereza kitu ambacho hawezi na hata pale anapojaribu hukosea na hukosolewa na huwa inamdemorolize sana.

Leo kaja ni kubwa kuliko anataka atumie namba za kirumi wakati hazikumbuki iv inaandika iiii hahaha nimecheka sana any way .
 
Last edited by a moderator:
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Mwigulu alikuwepo hapa Houston wiki ya jana,picha zake hapa akiwa nyumbani kwa Simon Makangula na Loveness Mamuya!

Safari ya Mwigulu ni kupoteza tu pesa za CCM Makao makuu;hamna la maana analo fanya hapa USA zaidi ya kuongea na simu muda wote hasa alipojua huku simu tunapiga tu hatuna vocha!
 
Magamba bana vichekesho vitupu.

Slaa katembelea community college. Wakaanza oh! Hiyo ni kama veta tu. Katembelea bandari. Akina ritzkoko wanakuja oh! atembelee bandari ya tanga au dar. Bila shaka hata akitembelea Havard, watasema kwanini asiende hapo Udom au Mzumbe au Mlimani.

Mungu akunyime vyote, lakini sio upeo wa kufikiri. Ni hatari sana taifa hili kuongozwa na wajingawajinga kama hawa.

Hapo kwenye red "wanapewa zaidi ya buku saba wanapochangia uzi wowote unaomhusu Dr. Slaa"
 
Bado najiuliza sipati jibu, nafasi ya huyu mama mke wa slaa katika ziara hii. Mama Mshumbusi ni sehemu ya ujumbe wa Chadema au anampa kampani mumewe??
Kama anampa kampani mumewe si angebaki hotelini tu amsubiri mumewe arudi?
Manake protocal inayotumika hapo sijui ni ipi, kwamba upande huu ni Uongozi wa Bandari(etc) na upande wa pili ni mtu na mkewe, ni ziara ya kifamilia au??

siku nyingine ukiona unauliza swali na hujibiwi ujue swali lako ni lakipumbavu
 
Heri Ruzuku ya chama iliwe kuliko keki ya taifa iliwe na chama "kwa kivuli cha kushika hatamu"
Naona Dr. Slaa anazidi kutumbua ruzuku ya CHADEMA.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.
jamaica.jpeg
==> Ritz na stroke hapa sijui utasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli msajili wa vyama kwanini usiishauri serikali ifute ruzuku kwa vyama vyote vya siasa maana kodi zetu zinateketea bure tu, watu wanakula bata si mchezo..
 
Bado najiuliza sipati jibu, nafasi ya huyu mama mke wa slaa katika ziara hii. Mama Mshumbusi ni sehemu ya ujumbe wa Chadema au anampa kampani mumewe??
Kama anampa kampani mumewe si angebaki hotelini tu amsubiri mumewe arudi?
Manake protocal inayotumika hapo sijui ni ipi, kwamba upande huu ni Uongozi wa Bandari(etc) na upande wa pili ni mtu na mkewe, ni ziara ya kifamilia au??
Dr. Slaa, mjanja sana hivi Alabama kweli ni bandari kubwa Marekani.

Na Bandari ya South Lousiana, bandari ya Houston,bandari ya New York.

Hizi utasemaje, bandari ya Alabama haina hata wafanyakazi.
 
Unaweza kuniambia kajifunza nini hapa zaidi ya kupiga picha hiyo bandari ya Alabama kwanza aina lolote hizo mashine hata bandari yetu inazo.

Nikuwekee bandari bora kabisa za Marekani, bandari haina kazi hakuna meli.

Umeongea nini sasa bwana Ritz,si umeshaelezwa ambacho amejifunza?hata kama ni bandari ndogo lakini umeambiwa kuwa inajiendesha kwa faida kubwa,bora huyu kuliko mkuu wetu wa kaya anayeenda USA kupiga picha na akina Jay Z.
 
Dr. wa ukweli Mungu akutangulie na akuzidishie afya njema.
 
Wanaukumbi, naomba kuuliza hii bandari ya Alabama mbona hakuna wafanyakazi au wamekwenda lunch.
 
Serikali ya marekani inajiandaa kufanya kazi na Chadema, hii attention wanayompa katibu mkuu Slaa sio bure.
 
Umeongea nini sasa bwana Ritz,si umeshaelezwa ambacho amejifunza?hata kama ni bandari ndogo lakini umeambiwa kuwa inajiendesha kwa faida kubwa,bora huyu kuliko mkuu wetu wa kaya anayeenda USA kupiga picha na akina Jay Z.
Angalia kichwa cha habari kwenye huu uzi ndiyo napingana nao.

"Dr. Slaa atembelea moja ya Bandari kubwa Marekani"

Wewe unakubali tu bila kuhoji.
 
Wana JF,kutokuana na kuzidi kutembea nchi za nje na mkewe huyu jamaa yetu Dr W.Slaa,napenda kuwataarifu jina lake jipya kuwa ni KARL PETERS wa TANZANIA,
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Correction: Episode I ilikuwa kikao cha kuwaambia watanzania wanaoishi DMV wao ni wakimbizi.
 
Ila usifanye mchezo na "kiwanja". Josephine tuwiki tuwili tu kashaanza kutakata.

Ukiangalia picha wakati anafika Airport Washington DC toka Bongo alikuwa kanyaukaaaaaa...
 
Ni haki yako kujua kama kweli nchi unayosema inaendeshwa kidemokrasia, lakini pia kama si wivu na hoja mbisho juu ya safari zenye muono wa mafanikio kwa watanzania.

Ndugu nadhani huyu jamaa kama kweli anapenda kujua funding source ya Dr. Slaa rais wa mioyo ya watanzania nikiwemo mimi namuomba aanza kwanza kuuliza gharama za baba rizi ambaye mpaka sasa inasemekana amesafiri zaidi ya 360 itakuwa ni busara ila kama aauliza kwa wivu kama ulivyo sema temana nnaye kwani najua maccm sasa hayalali kuona Dr. wa ukweli akipiga kazi kwa faida ya watanzania wote. Namtakia kila lilo jjema Dr. Slaa watanzania tunataka maendeleo ya kweli sio ya kwenye maandishi wanayo yahubiri maccm.
 
Back
Top Bottom