Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

Serikali ya marekani inajiandaa kufanya kazi na Chadema, hii attention wanayompa katibu mkuu Slaa sio bure.

Serikali ya Marekani iko Washington. Slaa yuko Alabama.

Ni sawa na mtu atembelee kata ya bwindembe huko kantalamba kuongea na Diwani halafu aseme serikali ya Tanzania inajiandaa kufanya naye kazi!!!

Kama kutembelea bandari ndio kushirikiana na serikali, sema tukuandalie tour ya bandari yoyote unayotaka duniani.
 
Mbona Mma yako wa kambo kakodi ndege binafsi akiwa kwa Obama wiki iliyopita unaona poa,na hayo Malori 100 umeyatoa wapi,Kasharudi kanyweni kahawa jioni na Mtuambie daftari la wapiga kura mnarekebisha lini,Uoga Siyo issue,Msiogope bado mnapumua,Igeni Zanzibar Daftari la wapiga kura linarekebishwa,na Mtoto mliemtegemea anasain mkataba mnono na SHELL company,issue ya kodi ya line kesi iko mahakamani wenye uchungu wanatutetea,lakini nyie wazee wa Loliondo aka meddle east mko poa,Ile meli yenu mmeichoma Halafu kimya,Mzee wa Tusker lager anavuma na miporojo yake,Ila lile la Sugu,mtalilipa Mbeya.
 
Dr. Slaa anaendelea na safari yake ya kujifunza inayoitwa "Vision Tanzania" ambayo leo imemfikisha moja ya bandari kubwa nchini marekani. Bandari ya Mobile Alabama ambako alipokelewa na mkurugenzi wa Shirika la Alabama Ports Authority
Shirika la Alabama Ports Authority inapitisha makontena 100 kwa lisaa limoja na mizigo inayozidi tani million 30 kwa mwaka na kuipa shirika hilo linalojitegemea kiasi cha dola za kimarekani million 152 kwa mwaka ambazo ni faida. Shirika hilo lina wafanya kazi 600 tu, lakini imeweza kutoa ajira ambazo siyo za moja kwa moja 280,000.

Bandari ya Alabama inajitegemea kiuendeshaji; haliingiliwi na uongozi wa jimbo. Utekelezaji wa bandari hii ni wa kipekee kwa sababu mizigo uondoka bandarini punde tu zinapowasili au chini ya siku tatu. Alichojifunza Dr. Slaa katika ziara hii ni kwamba, mashirika ya umma yanaweza kufanya kazi kwa ufaninisi mkubwa pasipo uingiliaji wa kisiasa.

Dr. Slaa pia amejifunza kwamba, kama jimbo dogo kama Alabama inaweza kupitisha tani million 30 kwa mwaka, basi Tanzania inaweza kupitisha tani million 100 kwa mwaka kutokana na jiographia yake. Dr. Slaa anaamini kwamba Bandari ya Tanzania inaweza kuajiri vijana 350,000 chini ya utawala wa Chadema.

Dr. Slaa anaamini kwamba, mashirika ya umma kama bandari hayana ufanisi kwa sababu waendeshaji wake wanateuliwa kiurafiki na kindugu bila ya kuzingatia uwezo wa mtu. China ya utawala wa Chadema haya yote yatafikia kikomo kwa manufaa ya watanzania wanaoumia na umasikini



Dr. Slaa Akipokelewa na Mkurugenzi wa Mkuu wa Bandari ya Mobile Alabama
attachment.php

Mkuregenzi mkuu wa Bandari akitoa maelezeo kwa Dr. Slaa
attachment.php

mashine (crane) zinazotumika kunyanyua kontena
attachment.php

Sehemu maalum ya kushusha kontena
attachment.php

Mashine nzito bandarini ikishusha mizigo

Wait a minute! Mbona kama hakuna kinachoendelea kwenye bandari? au ilikuwa week end na wafanyakazi wako off.

Msitufanyie usanii,hii bandari haina tofauti na ule mradi wa Baba Riz1 wa Bandari ya Bagamoyo.
 
unknown.gif
Member Array

Join Date : 27th April 2013
Posts : 48
Rep Power : 332
Likes Received3
Likes Given1

[h=2]
icon1.png
Re: Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani ![/h]
Mbona Mma yako wa kambo kakodi ndege binafsi akiwa kwa Obama wiki iliyopita unaona poa,na hayo Malori 100 umeyatoa wapi,Kasharudi kanyweni kahawa jioni na Mtuambie daftari la wapiga kura mnarekebisha lini,Uoga Siyo issue,Msiogope bado mnapumua,Igeni Zanzibar Daftari la wapiga kura linarekebishwa,na Mtoto mliemtegemea anasain mkataba mnono na SHELL company,issue ya kodi ya line kesi iko mahakamani wenye uchungu wanatutetea,lakini nyie wazee wa Loliondo aka meddle east mko poa,Ile meli yenu mmeichoma Halafu kimya,Mzee wa Tusker lager anavuma na miporojo yake,Ila lile la Sugu,mtalilipa Mbeya.​





progress.gif
Edit Post Reply Reply With Quote Send PM







Page 6 of 6 First ...456
  • Jump to page:


[h=2]JamiiForums Message[/h]


Cancel Changes


[h=3]Errors[/h][h=3]The following errors occurred with your submission[/h]

Okay


[h=3]
reply_40b.png
Quick Reply
progress.gif
[/h]
Rich Text Editor[TABLE="class: cke_editor"]
[TR]
[TD="class: cke_top"]Editor Toolbars Remove Format Paste as plain textFontFontSizeSize Smiley Redo Table Properties Insert Row Before Delete Rows Insert Column After Subscript Insert Horizontal Line
Italic Align Left Align Right Insert/Remove Bulleted List Increase Indent Unlink Insert Video Wrap
Code:
 tags around selected text[/URL][URL="javascript:void('Wrap [PHP] tags around selected text')"] Spell Check[/URL][URL="javascript:void('Wrap [JFMP3] tags around selected text')"] Wrap  tags around selected text[/URL]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cke_contents"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cke_bottom"]
Auto-Saved

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
				 


[LIST]
[*]:rofl:		 


[*]:bowl:		 


[*]:target:		 


[*]:doh:		 


[*]:yuck:		 


[*]:hippie:		 


[*]:smile:		 


[*]:ohwell:		 


[*][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20angry.gif[/IMG]		 


[*]:(		 


[*]:bathbaby:		 


[*]:rolleyez:		 


[*]:crying:		 


[*]:whip:		 


[*]:glasses-nerdy:		 


[*][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S-cry.gif[/IMG]		 


[*]:mad2:		 


[*][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%2041.gif[/IMG]		 


[*][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20shade.gif[/IMG]		 


[*]:shut-mouth:		 


[*]:censored:		 


[*]:-*		 


[*]:fear:		 


[*]:biggrin:		 


[*]:lalala:		 


[*][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S-heart-2.gif[/IMG]		 


[*]:playball:		 


[*]:rockon:		 


[*]:bounce:		 


[*]:tape2:		 

[/LIST]
[[URL="javascript://"][COLOR=#417394]More[/COLOR][/URL]]



			 

[IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/progress.gif[/IMG] Posting Quick Reply - Please Wait			 						 			 			 		 


	 	 	 	 	 	 	 	 	 	  
 «	 [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/533337-chadema-fukuzeni-washauri-wenu-hili-la-katiba-wamewatapeli-mpeni-mwanakijiji-now.html"][COLOR=#417394]CHADEMA Fukuzeni Washauri Wenu Hili la Katiba Wamewatapeli!! Mpeni Mwanakijiji Now!![/COLOR][/URL]				 
 [h=4]Topic Information[/h][h=5]Users Browsing this Topic[/h]There are currently 29 users browsing this thread. [COLOR=#777777](8 members and 21 guests)[/COLOR]

[LIST]
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=139164"][COLOR=#417394]Camp 05[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=70716"][COLOR=#417394]TEMILUGODA[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=103503"][COLOR=#417394]Lwesye[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=77761"][COLOR=#417394]chidou[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=149423"][COLOR=#417394]Tluway Baha[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=18757"][COLOR=#417394]PakavuNateleza[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=159821"][COLOR=#417394]Chadema Diaspora[/COLOR][/URL],											 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=65448"][COLOR=#417394]artorius[/COLOR][/URL]									 
[/LIST]



[h=4][URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/533249-dr-slaa-atembelea-moja-ya-bandari-kubwa-marekani-6.html#top"][IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/collapse_40b.png[/IMG][/URL]				Posting Permissions[/h]
[LIST]
[*]You may post new threads
[*]You may post replies
[*]You may post attachments
[*]You may edit your posts
[*]
[/LIST]

[LIST]
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=bbcode"][B][COLOR=#417394]BB code[/COLOR][/B][/URL] is On
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=showsmilies"][COLOR=#417394]Smilies[/COLOR][/URL] are On
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=bbcode#imgcode"][COLOR=#417394][IMG][/COLOR][/URL] code is On
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=bbcode#videocode"][COLOR=#417394][VIDEO][/COLOR][/URL] code is On
[*]HTML code is Off
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=linkbacks#trackbac  ks"][COLOR=#417394]Trackbacks[/COLOR][/URL] are Off
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=linkbacks#pingback  s"][COLOR=#417394]Pingbacks[/COLOR][/URL] are Off
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=linkbacks#refbacks"][COLOR=#417394]Refbacks[/COLOR][/URL] are On
[/LIST]

[URL="https://www.jamiiforums.com/misc.php?do=showrules"][COLOR=#417394]Forum Rules[/COLOR][/URL]





	   					 			 [h=3]Who are WE?[/h]                            		JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

 You are always welcome! [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/announcements.html"][COLOR=#417394]Read more...[/COLOR][/URL]								


[h=3]Where are we?[/h]                            		We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

 For anything related to this site please Contact us.

[URL="https://www.jamiiforums.com/sendmessage.php"][COLOR=#417394]Contact us now...[/COLOR][/URL]



[h=3]DISCLAIMER[/h]                            		JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

[URL="https://www.jamiiforums.com/rules.php"][COLOR=#417394]Read more...[/COLOR][/URL]								


[h=3]Forum Rules[/h]                            		JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

 You MUST read them and comply accordingly. [URL="https://www.jamiiforums.com/rules.php"][COLOR=#417394]Read more...[/COLOR][/URL]								


[h=3]Privacy Policy[/h]                            		We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. 

 Read our Privacy Policy. [URL="https://www.jamiiforums.com/policy.php"][COLOR=#417394]Proceed here...[/COLOR][/URL]								


		 			 

														 -- JF-Desktop										 																												 -- JF-Touch	 -- WapSite										 																	 				         
  
[LIST]
[*][EMAIL="support@jamiiforums.com"][COLOR=#417394]Contact Us[/COLOR][/EMAIL]		 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/"][COLOR=#417394]JamiiForums[/COLOR][/URL]										 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/policy.php"][COLOR=#417394]Privacy Statement[/COLOR][/URL]				 
[*][URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/533249-dr-slaa-atembelea-moja-ya-bandari-kubwa-marekani-6.html#top"][COLOR=#417394]Top[/COLOR][/URL]	 
[/LIST]


All times are GMT +3. The time now is [COLOR=#3e3e3e]13:15[/COLOR].
		 	
		 	 
Copyright JamiiForums.com 





  




[quote="Ritz, post: 7483606"]Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari  za nchi yako hili hujue maitaji yao.[/QUOTE]
 
Naona Dr. Slaa anazidi kutumbua ruzuku ya CHADEMA.

Wajinga ndiyo waliwao.

Wivu mwingine bwana!du! Vyama visipo kuwa vya kimataifa mnasema vyama vya mfukoni,mara oooh viongozi wa upinzani wabinafsi,mara ooo wapinzani hawajulikani kimataifa.kwa taarifa yako marafiki wa chadema wamesimamisha shughuli za serikali USA kwa uzembe wa Obama.
 
ccm bado mnaweweseka!mwigulu rais mtarajiwa kupitia ccm amesharudi hivi?nchi haishi vimbwanga...eti mwigulu anastahili kuwa rais wa tanzania kwa kuwa ameenda marekani!kweli?
iyo pesa wanayo itumia ndugu yangu wange weza kujenga office ngapi huku vijijini au mnazani kuwa mtashinda kwa kelele za mjini?
 
Wewe ni Mzushi,Imebaki miezi mingapi uchaguzi ufanyike?,Daftari la wapiga kura linatakiwa kurekebishwa,Mko fiti msiogope,Problem ya viongozi wa Africa hua wanadhani Ikulu ni nyumba ambayo ukiingiaa hutakiwi kutoka humo Angalia Dictator Museveni Alivyong'ang'ania kwenye ATM,Kama Kadi za Benki,Muangalie Mugabe ndo kwanza anongoza nchi na wala hajali,muangalie museven anatabasamu as if ni mtu Mzuri,damn Africa politics.
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.
 
Wivu mwingine bwana!du! Vyama visipo kuwa vya kimataifa mnasema vyama vya mfukoni,mara oooh viongozi wa upinzani wabinafsi,mara ooo wapinzani hawajulikani kimataifa.kwa taarifa yako marafiki wa chadema wamesimamisha shughuli za serikali USA kwa uzembe wa Obama.

Ohoo Republicans..chama cha magaidi waliopiga Iraq na Afghanistan, mabaguzi ya rangi yasiyopenda wala kujali utu?? Unajua kwanini wamesimamisha serikali ya Obama, simply wivu wa kike tu kwa Obama care, they can not take it kua mtu mweusi anaweza kuja na wazo zuri kama hilo?? sasa wanaogopa isijekua hiyo policy ya Obama care ikawa succesful na Obama akaja kua written down in the history kama rais aliyefanya mapinduzi makubwa ya kiafya kwa kujali hata wale wasiojiweza kupata bima ya afya, hao hao marafiki zenu as you so call them wanamwita Obama a socialist!!! Hayo ni mabeberu haswa ndani nje, asili ya ubeberu defines them, na chadema they adopt the same policy ya ubaguzi na ukanda, sasa naona mmekutana marafiki mnaofanana, "birds of the same colors/feathers, flock together", it is good we now know your friends!!!!
 
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.

Mtanzania gani asiyejua matatizo ya bandari za Tanzania?
 
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.

Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.

Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.
mbel

Atembelee bandari za bongo ?

Ushauri wako wapelekee ccm wenzako...sisi tuna mashauri wetu bi Josephine........
 
Wakuu wetu
1. Zitto Zuberi Kabwe
2. John J Mnyika
3. Tundu Lissu
4. Joshua Nassari
5. Kitila Mkumbo
6. Tumaini Makene

With all due respects hebu naombeni msaada wa kueleweshwa rationale na funding behind this study
tour

Nchi ya demokrasia na maendeleo,nguvu ya wananchi ni pamoja na kupata taarifa sahihi kwa wakati kutoka vyanzo sahihi na vinavyoaminika

Ukisha ifahamu?
 
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

IIII ndo nini?
kuna I,II,III,IV,V,VI na kuendelea.....nyoa sharubu.
 
Serikali ya Marekani iko Washington. Slaa yuko Alabama.

Ni sawa na mtu atembelee kata ya bwindembe huko kantalamba kuongea na Diwani halafu aseme serikali ya Tanzania inajiandaa kufanya naye kazi!!!

Kama kutembelea bandari ndio kushirikiana na serikali, sema tukuandalie tour ya bandari yoyote unayotaka duniani.

Wewe ni mjinga sana shule haijakukomboa Alabama ni state inajitawala ina gavana anayesimamia serikali hiyo ambaye ndio raisi wa Alabama kwa namna nyingine anayewajibika kwenye serikali ya muungano wa marekani iliyoko Washington Dc duh unadhani JF ni jukwaa la wajinga eti
 
Unaweza kuniambia kajifunza nini hapa zaidi ya kupiga picha hiyo bandari ya Alabama kwanza aina lolote hizo mashine hata bandari yetu inazo.

Nikuwekee bandari bora kabisa za Marekani, bandari haina kazi hakuna meli.

Kama uliwahi kua na akili kazichukue uliko zikodisha.
Kama ndizo ulizo nazo sasa basi wewe ni sababu ya watanzania kuwa wajinga.
 
Naona Dr. Slaa anazidi kutumbua ruzuku ya CHADEMA.

Wajinga ndiyo waliwao.


hivi unafikiri au ? ruzuku ya ccm na cdm zote ni kodi yako wewe na sisi wote hata hio pesa ya mtandao umesha changia.....
kujifunza sio darasani tu ndio maana kuna field
 
Ohoo Republicans..chama cha magaidi waliopiga Iraq na Afghanistan, mabaguzi ya rangi yasiyopenda wala kujali utu?? Unajua kwanini wamesimamisha serikali ya Obama, simply wivu wa kike tu kwa Obama care, they can not take it kua mtu mweusi anaweza kuja na wazo zuri kama hilo?? sasa wanaogopa isijekua hiyo policy ya Obama care ikawa succesful na Obama akaja kua written down in the history kama rais aliyefanya mapinduzi makubwa ya kiafya kwa kujali hata wale wasiojiweza kupata bima ya afya, hao hao marafiki zenu as you so call them wanamwita Obama a socialist!!! Hayo ni mabeberu haswa ndani nje, asili ya ubeberu defines them, na chadema they adopt the same policy ya ubaguzi na ukanda, sasa naona mmekutana marafiki mnaofanana, "birds of the same colors/feathers, flock together", it is good we now know your friends!!!!
Serikali ya Republicans chini ya Bush ilifanya serikali ya Kikwete ipokee karibu dola million nia nane za millennium challenge barabara nyingi anazolingia KIkwete ndio pesa imetoka kwa serikali ya Republicans ,mambo ya siasa zao za ndani waachie wao
 
Nafuta rasmi neno doctor kwenye jina la wilbroad slaa,
Hakuna dr. mbumbumbu kama huyu.

Anauza sura, anataka nini huko kwa wazungu;
chama mwambieni arudi nyumbani kukiimarisha chama chake.

Naanza kujiuliza ni nani yuko mbele ya ziara ya slaa;

??????? No logic,sijui unaongea nini.
Utakufa kwa pressure
 
Last edited by a moderator:
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.

Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.

Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.

Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama

Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.

Hapo kwenye red sijakupata.Eti umesoma sheria????
 
Back
Top Bottom