Hivi Dr.Slaa ameishawahi
kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma,
Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.
Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha
kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.
Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili
hujue maitaji yao.
Kama kawaida yako faatani uliyelaaniwa hukosi neno!Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.
Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.
Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.
Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.
Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.
Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama
Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.
Hili lilihitaji hardly one day with books on table and a thermos full of tea or coffee to be figured out!!!!!
Unaweza kuniambia kajifunza nini hapa zaidi ya kupiga picha hiyo bandari ya Alabama kwanza aina lolote hizo mashine hata bandari yetu inazo.
Nikuwekee bandari bora kabisa za Marekani, bandari haina kazi hakuna meli.
Ni muhimu kwa mtu anayetaka kuwa kiongozi wa Nchi kuwa na uelewa mpana zaidi wa masuala ya kiutawala na kiuchumi katika kiwango cha kimataifa ili hata akija kuwa kiongozi siku moja awe anawaonyesha wasaidizi wake njia za kupita kuelekea katika mafanikio ya kiuchumi.Hiyo ziara itamsaidia kujenga vision yake juu ya Tanzania atakayotaka kuijenga.JK alikuwa na nafasi nzuri ya kuji-expose na kujielimisha kwa mapana zaidi kuhusu masuala ya kiutawala na kiuchumi ya kimataifa wakati ule akiwa waziri wa mambo ya nje lakini akaichezea angalia sasa Nchi inavyomshinda.Hata huyo Lowassa sioni kama ana vision yoyote kwaajili ya Nchi hii na yeye yuko busy kuwalaghai Watanzania wamchague 2015.Hapa ni Dr Slaa tu peke yake ndiye anayeonekana kuwa makini na anayeonekana kuelewa nini ataenda kufanya Ikulu.Dr Slaa anafanya siasa za kisasa zaidi na za kimataifa hapa Tanzania.
Hata utalii nao mwafanya issue kubwaa. Kweli Chadema ni mkia wa mbuzi
Hata utalii nao mwafanya issue kubwaa?
Hivi Dr.Slaa ameishawahi kutembelea bandari zetu, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Mwanza, Kigoma, Bukoba, kufahamu zinaitaji nini.
Dr. Slaa bandari ya Alabama haiuwezi kukusaidia kitu labda kupiga picha kama ni muendelezo wa safari yako ya utalii hakuna tatizo.
Kama una uchungu na nchi yako anza kutembelea bandari za nchi yako hili hujue maitaji yao.
Nafuta rasmi neno doctor kwenye jina la wilbroad slaa,
Hakuna dr. mbumbumbu kama huyu.
Anauza sura, anataka nini huko kwa wazungu;
chama mwambieni arudi nyumbani kukiimarisha chama chake.
Naanza kujiuliza ni nani yuko mbele ya ziara ya slaa;
ok,unadhani hakukuwa na umuhimu wa kuongozana na wataalamu wa fani.hizo anazotembelea????!!!!
Hivi alishapitishwa kuwa mgombea wa Urais???!!!
Naona tamthilia ya Dr. Slaa inaendelea.
Episode I ilikuwa kutembelea wanajeshi wa Marekani.
Episode II ilikuwa State Reception Alabama,ingawa kulikuwa hakuna wageni waalikwa wengine.
Episode III vision Tanzania kuzunguka bandari ya Alabama
Tusubiri Episode IIII sijui itatoka lini.
Mimi si mwanachama wa chama.chochote mkuu mi mwenyewe ni chama tosha na hivi tutaruhusiwa kuwa wagombea binafsi just be patient.Mbona Lowassa anapita huku na huko mara ajisimike U-shehe misikitini mara U-laigwanan mara Utemi kwani naye alishateuliwa kugombea Urais na Chama chenu?