Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

tueleze mkuu, manjonjo gani ulitaka. ujue kila kampeni au mikutano ina level yake.
 
Rip Chadomo ZZK aliwaambia bakizeni akiba ya maneno.......

Sasa mtuhumiwa aliyetelekeza familia kaishiwa na maneno....

Hahaha chezea Mushumbusi weweee

Mamaa Junior sijui ni jina la kwetu kule Mangola? au kabambikwa Padri wangu
 
Mnahangaika sana....
ImageUploadedByJamiiForums1351097819.815843.jpg
 
Hatukatai kuwa hiyo turn over inaweza flunctuate anytime. Hata kwenye mikutano ya ccm hutokea wakajaza pia
 
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.

Sawa shine star si Dr. Philip Mulugo
 
Ni kweli havutii kwani uwongo? nimemuona leo akiwa na msafala wa magari mawili maeneo ya Hospitali ya mkoa na cjuwi alifata nn hapo kama cyo kutafuta huruma ya watnzania kuungwa mkono, au kama ilivyo kawaida yake kutafuta mabomu ya kukusanyia watu kwenye mikutano yake. kwa ujumla tuu huyu nae ameishiwa sera,
 
CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.

Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.

mkuu umesema ukweli! Cdm hatukodishi wanenguaji kama wanavofanya waoem! Cdm ni sera tu!
 
CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.

Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.
I salute you sir.
 
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.

hana mvuto
 
Back
Top Bottom