Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

kwani kikwete huwa anafanya manjonjo yapi? hivi kwenye siasa kuna manjonjo?.
*Dr. Slaa anafanya kweli hana manjonjo wala kulemba ndo maana alikuacha kwenye mataa. mia
ladbda yale ya DHAIFU anayofanyaga pale JANGWANI Ya kupoteza mawasiliano.:majani7:
 
Eti manjonjo!! m sijaelewahata ulikuwa unatakakutufikishia ujumbe gani, ujasema alishindwa katika lipi. ukitukanwa unasema watu hawataki kuambiwa ukweli.ukweli upi?
 
tangu lini chadema wakafanya manjonjo???????????? hapa kazi tu kaka hakuna cha
marlow
hadija kopa
wala mzee komba.
pia hakuna kucheza disco na wajane.
 
CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.

Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.


:A S 101::clap2::peace:
 
Ndugu zangu manjonjo niliyosema ni kuhusiana na maandamano/ wingi wa watu kwenye mikutano yao, walijikuta kila wapohamasisha watu wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hata kuwajali.

Hata mkiangalia zile picha zilizorushwa humu zilikuwa zinaonyesha watoto tu wakiwa kwenye meza wakiuza vitunguu, je aliwashauri watoto hao wakasome ili baadae wawe viongozi wa Taifa hili au aliwaacha wakiuza bidhaa zao?

Najua mtasema ni kazi ya Serikali lakini na yeye anapiga jalamba la kuingia Ikulu. Ukweli utabaki kuwa ukweli, Babu anaelekea kuchoka kwa wimbo wa sera moja, kila neno/jambo likirudiwa sana kusemwa/kutamkwa mwishowe hugeuka kuwa wimbo kwa kila msikiliza kuweza kuitikia. Mfano Chadema wakisema, ccm ni nani!!!!!!!!! wote waliopo kwenye mikutano yao wataitikia' Mafisadiiiiiiiiiiiii.

Je hoja itakuwa na maana huku unaotaka kuwafikishia ujumbe wajua unachotaka kusema kabla hujatamka?
 
Manjonjo kayaongee na mkeo sio kwenye mtandao huu. CDM iko kikazi zaidi wala sio kuonyesha manjonjo.
 
Back
Top Bottom