Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.

Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.
Chukuwa like yangu mkuu
 
acha zako bwana huyu kiumbe sio mwenzio ni hatari sana ile hujapata kuona hata kama vpi ss tunamkubali sana tu
 
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.

ulitaka afanye nini wakati mimi binafsi niliandika thread yenye title😀R.SLAA AFUNGUKA SHINYANGA NA KUIONYA SERKALI
 
Kweli bhana hapakua na taarabu na mipasho kama ya.....
 
kakosa watu kabisa kwenye mkutano..dalili mbaya mapema kwa cdm
 
Wapuuzi wengi hupenda kusifiwa haya kwa wadiostahili,wapuuz huchukia ukweli. Call a spade a spade and not a big spoon. Acheni ujuha, km kiongoz wetu hakuleta hamasa ktk kiwango kilichotarajiwa bac tutafte njia ya kutatua tatzo na sio kutaka kusifiwa mda wote km serikali ya sisiem
Hebu weka wazi, ni kiwango kipi hasa mlichotarajia?


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Eti alikosa manjonjo!? Ndo nini? Kama ni taarabu na maigizo mi sijawahi kuona kwenye mikutano ya cdm..wasubiri ccm
 
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
36942_06__32675.jpg
 
Jamani msimshambulie sana kazoea manjonjo kwao. Hamjawahi kuona mkulu mwenyewa anakata kiduku cha kufa mtu?
 
Back
Top Bottom