Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
naenda supermarket kuchagua whisky je ninunue techers au VAT 69...nishaurini jamani kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiii
VAT 69 itatosha kwa kuanzia.......
naenda supermarket kuchagua whisky je ninunue techers au VAT 69...nishaurini jamani kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiii
Shukrani MK. This is big news kwa wapambanaji wote popote walipo. Ndio tulisema kwamba hata huko mahakamani kuna watu wenye kiu na haki, bahati mbaya yametimia kabla halijachoea. Ngoja mimi nikajinyewee tusker zangu!
Hongera kwa Dr. Slaa na wapenzi wa CHADEMA kwa huo ushindi
Hapo ulipo tusker zipo kweli?ama unaenda kunywa cyder, Heinken, etc.
Tusker zipo huko Mkuu?Shukrani MK. This is big news kwa wapambanaji wote popote walipo. Ndio tulisema kwamba hata huko mahakamani kuna watu wenye kiu na haki, bahati mbaya yametimia kabla halijachoea. Ngoja mimi nikajinyewee tusker zangu!
Tusker zipo huko Mkuu?
Hongera sana Dr. Slaa,Padri uliyetumwa kuwatumikia watanzania,na kama viongozi wa dini wangekuwa kama Dr. Slaa basi tungekuwa mbali sana.
Mkuu Kitila hivi huyu Isack wa UVCCM alikuwapo UDSM kipindi kipi?manaake viongozi wa namna hii sijawahi kuona??hakuna busarayoyote
Brazo Slaa
Mpaka kielewe,
Kumbuka! Hata akina lowassa, kivuitu nk wametolewa na UDSM!
Kimsingi hii kesi ilikuwa ni dhaifu sana;
a. Ilianzishwa na wanachama wa chini sana na sidhani ilipata support toka Makao Makuu ya CCM. Hivyo, naweza kuamini kuwa CCM makao makuu walikuwa wanaombea tu iende upande wao lakini hawakutaka waonekane moja kwa moja wana interest.
b. Ushahidi wake ulikuwa dhaifu sana kiasi kwamba hata ingepelekwa kwenye mahakama ya watoto ambayo inaangalia ushahidi tu hakukuwa na jinsi yoyote ile. Tutakaposoma yaliyoamuriwa nina uhakika yatakuwa based zaidi kwenye ushahidi dhaifu na vielelezo dhaifu sana.
Ni ushindi uliopaswa kuwa ushindi, asingeweza kushindwa.