Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

Yani wewe ndiye mburura kabisa. Dkt. Slaa amekuwa mbunge wa Karatu kwa muda wa miaka 15 mfululizo sasa usije ukadhani watu wa Karatu ni mamburura kama wewe!

Kheri yeye anajifunza kitu kipya kuliko mwenyekiti wenu anayeacha majukumu ya kuwatumikia watanzania na kwenda kupiga picha na wauza sembe huko marekani.
Raisi gani anafunga safari toka hapa hadi UK au USA kwenda kupokea jezi tu?? Pamoja na kuzurura kwake kote lakini hajafanikiwa kuinua mchezo hata mmoja bado tunaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu katika sekta ya michezo!

Hakuna ushamba kuliko ule wa raisi wa nchi kwenda Jamaica kubembea. Kama ana hamu ya kubembea angeenda uwanja wa community pale Mwanga Kigoma abembee hadi atosheke!
Yote uliyosema ni history, baada ya Josephine kuingia katika Dr. Slaa's picture, uzuri wake unazidi kudidimia shimoni. Josephine hakumpenda Dr. Slaa kwa kuwa he is handsome, but opportunity. Mama Nkapa na Josephine ni watu hatari sana
 
Ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa kiafrika kupewa mapokezi makubwa ambayo Dr. Slaa ameyapokea katika ufunguzi wa mchezo wa mpira maarufu kama football. Dr. Slaa alialikwa na Chancellor pamoja na Rais wa chuo kikuu cha Alabama kuwa mgeni rasmi katika mchezo huo baina ya Alabama na Georgia State. Kiongozi huyo wa Chadema alipokewa na viongozi wa ngazi mbali mbali wa kitaifa na wa jimbo la Alabama

Akimkaribisha Dr. Slaa katika chakula cha asubuhi iliyoandaliwa kwa ajili yake, Chancellor wa chuo hicho, amemfananisha Dr. Slaa na Nelson Mandela kutokana na juhudi zake za kupambana ufisadi nchini Tanzania. “
Tunajua jinsi polisi wanavyowaua raia na kuwakamata wapinzani” alisema kiongozi huyo. Kadhalika kiongozi huyo amemsifu Dr. Slaa kutokana na msimamo wake, sera zake za kulikomboa Tanzania kutoka katika umasikini licha ya chama chake kutungiwa kesi za ughaidi.

Kwa upande wake, wakiwa kama moja ya vyuo vikuu nchini marekani, wako tayari kufanya kazi kwa ukaribu na Dr. Slaa hasa katika sekta ya elimu. Wamemuomba ajisikie nyumbani na kufurahia mchezo wa American football.
Kwa unyenyekevu Dr. Slaa aliwashukuru governor, na viongozi wengine kwa kuwa wakarimu sana kwake na mkewe na watu wa Tanzania. Amefurahishwa jinsi wamarekani wanavyokuwa na hamasa na kuipa kipaumbele michezo.

Nimejifunza kwamba michezo ni moja ya mbinu ya kuiunganisha taifa hasa tunapokuwa na changamoto nyingi kama za kwetu alisema Dr. Slaa. Kadhalika amesema kwamba, chama chake cha Chadema ina sera ya kukuza vipaji kupitia taasisi za michezo nchini Tanzania na siyo kuwaleta Makocha wa kigeni, mmoja baada ya mwingine na kuwapeleka Ikulu kula pilau na kupiga picha.

Nilichojifunza ni kwamba, lazima nirudi na ujumbe kwa watanzania kuweka mifumo endelevu ya michezo kuanzia shule za misingi hadi vyuoni. Nilichoona hapa ni mfano wa kuigwa alimalizia Dr. Slaa



Moja ya Viongozi wa Juu Nchini Marekani akisalimiana na Dr Slaa


wakiwa katika chumba cha watu mashuhuri. Baadhi ya watu mahuhuri kama yeye hawakujizuia kwenda kumsalimia. Akifungua mchezo wa leo, Dr. Slaa alirushwa moja kwa moja na moja ya luninga kubwa zaidi nchini marekani


Dr. Slaa akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi ya Masenators walioalikwa kujumuika naye




Msafara wa Dr. Slaa ukiwasili uwanjani


Mshindi wa Nobel Peace Price na Dr. Slaa ndani ya Chumba cha watu mashuhuri wakijadili neno


Viongozi Mashuhuri wakiwa uwanjani kabla ya mchezo kuanza. Dr. Slaa ndiye mgeni Rasmi. Hapa ni chumba maalum cha rais kwa ajili ya wageni mashuhuri


Uwanja ukiwa umefurika wapenzi wa mpira takribani laki moja
 
Slaa angekuwa mtu smart swali la kwanza alipaswa kujiuliza kwanini katika maeneo anayopita haoni watu weusi? Je, Alabama hakuna watu weusi? Mbona alipokuwa Washington aliona watu weusi kwenye majengo ya serikali?

Slaa ajitahidi kusoma saikolojia ya hao watu wanavyomfikiria mtu mweusi na asidhani yeye wanamuona tofauti - no way, hapo Slaa anaonekana kama object of touristic attraction tu...

"Tukianza kubagua watu kwa rangi zetu, kabila zetu, hata sisi wenyewe tutabaguana" wao wazanzibar sisi watanganyika"

Wao weupe sisi weusi, itafikia wakati utauliza kwa nini slaa na sio mwigulu?
 
Nimekuwekea picha kukupa ujumbe mmoja mahsusi kwamba yupo na wenyeji wake kwa maana ya waliomwaalika-itifaki imezingatiwa.

Kuweka mkono, ulitaka aweke wapi? chukuwa mfano wa kiti unadhani kila mmoja anapokaa kitini huweka makalio katikati? we mjinga nini.........Na wavaapo kufia wote huiweka katikati?, na tunywapo maji wote hunywa tukiinuwa midomo angani?
Naakushangaa hujatowa majibu ya maswali niliyokuuliza, hujaelewa nimeuliza nini? narudia hapa chini lete majibu.
Ukifanya kitu kwa kuiga make sure you get it right, kuna busara behind mkono kuweka position ya moyo. majibu ya swali lako ni yote ni ujinga. Tuna mambo mengi muhimu sana, kwenda sanaerland, kubembea na football ni ufujaji wa pesa zetu walipa kodi. Siwezi kusema mavi ni bora zaidi ya mkojo. yote ni human waste
 
Yote uliyosema ni history, baada ya Josephine kuingia katika Dr. Slaa's picture, uzuri wake unazidi kudidimia shimoni. Josephine hakumpenda Dr. Slaa kwa kuwa he is handsome, but opportunity. Mama Nkapa na Josephine ni watu hatari sana

Kumbe na wewe ni miongoni mwa watoto wa kiume wanao muonea wivu Josephine?! Ama kweli hii nchi imeoza kabisa.

Labda nikuulize wewe mtoto wa kiume unayefahamu vigezo wanavyotumia wanawake kuwapenda wanaume wanaangalia nini? Manake inaonekana uko deep sana katika hiyo sekta!
 
Watu wanasema ohh CHADEMA inapewa hela na mashirika ya nje yanayotaka mali za Tz, ohh sijui nini kelele nyingi,
Mimi hayo sijali, hata kama awe nani for as long as maisha ya Tanzania yatakua bora hata kama analipwa mzungu alipwe, watu si wanakula, watoto wanasoma wanapata elimu, hospital tiba zinapatikana, vifo vya kijinga vinapungua, usafiri na vitu bei zinapungua, au ka hazipungui basi income ya watu inapanda, technology bongo inakua, yani ukinipa hivyo hata kama namlipa mzungu nimlipe tu kuliko kukaa na kupiga kelele huku watu kila siku wanakufa njaa, form four 90% wanafeli, hospitali shida, walimu shida, yani kuna fault kila sekta!
 
Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema na amzidishie afya njema popote atakapofikia.

mafisadi wana pesa sisi tuna Mungu mwenye mamlaka siku zote ya maisha yetu!
 
Kumbe na wewe ni miongoni mwa watoto wa kiume wanao muonea wivu Josephine?! Ama kweli hii nchi imeoza kabisa.
Labda nikuulize wewe mtoto wa kiume unayefahamu vigezo wanavyotumia wanawake kuwapenda wanaume wanaangalia nini? Manake inaonekana uko deep sana katika hiyo sekta!
Unakumbuka mama Nkapa alivyoigeuza Ikulu, tutegemee samething kwa Dr. Slaa, Josephine ni gold digger
 

Attachments

  • foot2.jpg
    foot2.jpg
    15.3 KB · Views: 53
"Tukianza kubagua watu kwa rangi zetu, kabila zetu, hata sisi wenyewe tutabaguana" wao wazanzibar sisi watanganyika"

Wao weupe sisi weusi, itafikia wakati utauliza kwa nini slaa na sio mwigulu?

....huyo Mama ni mbaguzi wa kidini ndo maana Mvomelo zahanati ili mshinda!!!!
 
Ukifanya kitu kwa kuiga make sure you get it right, kuna busara behind mkono kuweka position ya moyo. majibu ya swali lako ni yote ni ujinga. Tuna mambo mengi muhimu sana, kwenda sanaerland, kubembea na football ni ufujaji wa pesa zetu walipa kodi. Siwezi kusema mavi ni bora zaidi ya mkojo. yote ni human waste

1. Unafahamu madhara ya kuweka mkono pembeni ya hapo unapodai moyo ulipo? kama ilivyo mtu akipigwa risasi?

kwa kufanya hivyo aliathili vitu vingapi? na madharagani yalitokea? kama hakuna basi wewe Fitina mwiko mjinga wa haja.

kama yapo orodhesha.

2. wakati Kikwete anabembea, walikuwa pamoja na Rais wa jamaika? kama sivo nidharau na kujidharirisha

3. Wakati Kikwete anatembelea Timu ya sundaland nakupewa jezi alikuwa na waziri mkuu wa England?

4. Je hao wenyeji wake Dr Slaa, kwa nyazifa na heshima zao unadhani pia ni wajinga?





Unaelekea akili yako ni ndogo kiuelewa kupita maelezo, endapo kikwete angebembea na mgeni wake, wala tusingelalamika

Kinachotufanya kuona kikwete alipotoka nipale rais wa Jamaica alipopuuza ubembeaji na kumwacha huyu asiyejuwa

wajibu wake aendelee kucheza.

Kuonesha hujuwi unachokitetea wala unachokijadili nakwamba upouwezekano mkubwa nimmoja wa f4-failure umeshindwa kujibu maswali rahisi tu hapo juu, badala ya kubwabwaja towa majibu stahiki.
 
Natamani sana nimwone Dr Slaa akiwa Rais, Go Dr Slaa Go...
 
Back
Top Bottom