Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Mkuu Mwita,
Kweli nyinyi watu mmelaghaika kwa kupitiliza kiwango. Yaani Slaa anawadanganya kuwa Kikwete ameenda Marekani kwa ajili ya kumuharibia safari yake yeye!!! Ina maana Slaa amefanikiwa kukulaghai kuwa UN General Assembly iliitishwa ili Kikwete aende kuharibu dili za Dr. Slaa.
Slaa ni gwiji la ulaghai...
Marcopolo mbona kiwango chako kinazidi kudorora sana hapa JF hata hoja ndogo sana na nyepesi zinakushinda kudadavua! Wapi nimeandika kuwa Kikwete kaenda Marekani kuvuruga ziara za Dkt. Slaa!?
Naona umepanic sana mkuu baada ya kuona raisi wetu mtarajiwa anafanya ziara kwenye taasisi kubwa na za kiserikali huko Marekani kinyume na matarajio yenu.
Kwakweli kama ni ulaghai ccm mmekubuhu na Kikwete ndio kiongozi mkuu wa ulaghai. Ahadi ya Kikwete ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai ni ulaghai wa kiwango cha kimataifa na anastahili kupewa tuzo kwa ulaghai huo!