Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
![]()
Akisindikizwa kuingia uwanjani kushuhudia pambano la American Football kama mgeni wa heshima baila ya Chuo cha Auburn na Georgia.
Je, Mwigulu Mchemba amesindikizwa hivyo au Nape pia?
Ujinga mwingine, anakwenda kuangalia football, wakati tuna mambo mengi na ya muhimu yanatukabiri. Hii ni sawa na picha ile JK alivyokuwa akibembea. Slaa amefirisika sana kisiasa, bad influence inampeleka chini