Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

C.C.M - Chama Cha Mafisadi, Chama Cha Majambawazi, Chama Cha Matapeli, Chama Cha Majungu, Chama Cha Mawitches, Chama Cha Matourists, Chama Cha Machakachuaji - Purged forever, need you no more. Wasanii wakubwa nyie alaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Chama Cha Mabuzi, Chama Cha Maharamia, Chama Cha Maozo,......
Anayekumbuka zaidi aendeleze hiyo, nia ni kupata at least 10,000 definitions.....
 
Sasa kama anafanya utani. Kwa trend ilivyokuwa hata kwa kujumlisha jimbo kwa jimbo bado Dr. Slaa kura zake ni chache ukilinganisha na za JK. Kwa hiyo anapotoa hilo tamko ambalo ni batili nadhani anachochea machafuko yasiyo ya lazima. Mtoa mada pale juu anatamani kuwe na machafuko kama ilivyokuwa Kenya. Je kwa faida ya nani? Damu zinapomwagika, je ni za akina nani? Si ni watanzania hao? Mimi nadhani hayo ni mawazo hasi. Kwa sasa mimi nadhani sisi wana CHADEMA tuanze mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Huo ndiyo utakuwa ustaarabu mkubwa na sio kuchochea machafuko kama mtoa mada hapo juu anavyopendelea.
 
Hivi sasa ITV inapitisha tangazo kuwa Dr. Slaa amepinga matokeo ya Uraisi kuwa yamechakachuliwa na NEC na kuwa hayana uhusiano wowote ule na maamuzi ya wapigakura kura...........

WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uliofanyika Oktoba 31,kutoka Jumuiya ya Ulaya ( EU EOM) na Umoja wa Afrika wamesema kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki, utulivu na amani.

Waangalizi hao walitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti wakati walipofanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana(leo) kuhusu taarifa ya awali ya uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwangalizi Mkuu wa EU EOM, David Martin alisema uchaguzi huo ambao ni wa nne kufanyika nchini tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa Tanzania, hadi sasa kwa ujumla umefanyika kwa amani na mpangilio mzuri.

“ Siku ya Uchaguzi Mkuu ilijitokeza kwa utulivu mkubwa na kwa ujuml a waangalizi wa uchaguzi wa Ujumbe Maaalumu wa Jumuiya ya Ulaya(EU EOM) ulikadria mchakato mzima wa uchaguzi huo kuwa ama ulikuwa ‘mzuri’ au ‘ kuridhisha’ katika asilimia 95 ya vituo vyote vya kupigia kura walivyovitembelea upande wa Tanzania Bara na upande wa Zanzibar,” alisema Martin.

Aliongeza kuwa kwa ujumla taratibu muhimu katika vituo vya kupigia kura zilitumwa kwa ulinganifu kwa kila kituo cha kupigia kura nchini kote, licha kuwepo mapungufu machache.

Martin alisema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) zilisimamia chaguzi kwa namna ya kitaalamu, hivyo kwa sehemu kubwa ziliwapatia watu watu wote haki ya kupiga kura.

Aliongeza kuwa ujumbe huo utabakia nchini kuzidi kufuatilia kwa karibu zaidi zoezi la kuhesabu matokeo ya uchaguzi, utangazaji wa matokeo na matukio yoyote yatakayojitokeza baada ya uchaguzi.

“Taarifa hii ni ya awali .Taarifa ya kina ya mwisho itatolewa baina ya miezi miwili na miezi mitatu baada ya mchakato mzima wa uchaguzi kukamilika,” alisema.

Kwa upande wake Kiongozi wa waangalizi hao, kutoka AU, Rais wa zamani wa Jamhuri ya Sierra Leone, Dk. Ahmad Tejan Kabbah alisema uchaguzi huo umefanyika wa amani na umefanyika kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wa Tanzania .

Aliongeza kuwa umefanyika kwa kuzingatia Azimia la Durban Demorasia katika Chaguzi za Afrika la Julai mwaka 2002.

“ Waangalizi wa Umoja wa Afrika wamesema uchaguzi umefanyika kwa huru, haki , uwazi na uadilifu(Credible) .

Naye Katibu Mtendaji wa International Conference of the Great Lakes Region (ICGLR) Balozi Liberata Mulamula amesema wiki hii kwamba wameridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi mkuu Tanzania na kwamba ukiondoa matatizo madogo madogo yaliyojitokeza sehemu mbili tatu, ulikuwa huru na wa haki.
Balozi Mulamula amesema uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa nchi wanachama wa ICGLR ambao wengi watakuwa na uchaguzi katika kipindi hiki. Ameisifu serikali ya Tanzania kwa juhudi zake za kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa na kuruhusu kila mwananchi aliejiandikisha kupiga kura bila wasiwasi.

Waangalizi hao ,waliwapongeza wananchi wa Tanzania, Vyama vya Siasa, wagombea , NEC, ZEC na vyombo vya usalama kwa kuwezesha uchaguzi huo ufanyike kwa amani na kuwashauri wagombea kukubali matokeo yanayotangazwa na NEC.
 
WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uliofanyika Oktoba 31,kutoka Jumuiya ya Ulaya ( EU EOM) na Umoja wa Afrika wamesema kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki, utulivu na amani.

Waangalizi hao walitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti wakati walipofanya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana(leo) kuhusu taarifa ya awali ya uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwangalizi Mkuu wa EU EOM, David Martin alisema uchaguzi huo ambao ni wa nne kufanyika nchini tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa Tanzania, hadi sasa kwa ujumla umefanyika kwa amani na mpangilio mzuri.

" Siku ya Uchaguzi Mkuu ilijitokeza kwa utulivu mkubwa na kwa ujuml a waangalizi wa uchaguzi wa Ujumbe Maaalumu wa Jumuiya ya Ulaya(EU EOM) ulikadria mchakato mzima wa uchaguzi huo kuwa ama ulikuwa ‘mzuri' au ' kuridhisha' katika asilimia 95 ya vituo vyote vya kupigia kura walivyovitembelea upande wa Tanzania Bara na upande wa Zanzibar," alisema Martin.

Aliongeza kuwa kwa ujumla taratibu muhimu katika vituo vya kupigia kura zilitumwa kwa ulinganifu kwa kila kituo cha kupigia kura nchini kote, licha kuwepo mapungufu machache.

Martin alisema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) zilisimamia chaguzi kwa namna ya kitaalamu, hivyo kwa sehemu kubwa ziliwapatia watu watu wote haki ya kupiga kura.

Aliongeza kuwa ujumbe huo utabakia nchini kuzidi kufuatilia kwa karibu zaidi zoezi la kuhesabu matokeo ya uchaguzi, utangazaji wa matokeo na matukio yoyote yatakayojitokeza baada ya uchaguzi.

"Taarifa hii ni ya awali .Taarifa ya kina ya mwisho itatolewa baina ya miezi miwili na miezi mitatu baada ya mchakato mzima wa uchaguzi kukamilika," alisema.

Kwa upande wake Kiongozi wa waangalizi hao, kutoka AU, Rais wa zamani wa Jamhuri ya Sierra Leone, Dk. Ahmad Tejan Kabbah alisema uchaguzi huo umefanyika wa amani na umefanyika kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wa Tanzania .

Aliongeza kuwa umefanyika kwa kuzingatia Azimia la Durban Demorasia katika Chaguzi za Afrika la Julai mwaka 2002.

" Waangalizi wa Umoja wa Afrika wamesema uchaguzi umefanyika kwa huru, haki , uwazi na uadilifu(Credible) .

Naye Katibu Mtendaji wa International Conference of the Great Lakes Region (ICGLR) Balozi Liberata Mulamula amesema wiki hii kwamba wameridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi mkuu Tanzania na kwamba ukiondoa matatizo madogo madogo yaliyojitokeza sehemu mbili tatu, ulikuwa huru na wa haki.
Balozi Mulamula amesema uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa nchi wanachama wa ICGLR ambao wengi watakuwa na uchaguzi katika kipindi hiki. Ameisifu serikali ya Tanzania kwa juhudi zake za kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa na kuruhusu kila mwananchi aliejiandikisha kupiga kura bila wasiwasi.

Waangalizi hao ,waliwapongeza wananchi wa Tanzania, Vyama vya Siasa, wagombea , NEC, ZEC na vyombo vya usalama kwa kuwezesha uchaguzi huo ufanyike kwa amani na kuwashauri wagombea kukubali matokeo yanayotangazwa na NEC.

kWA HISANI YA WATU WA MAREKANI HILI MALI ZETU ZIENDELEE KUIBIWA
 
Mpaka makame na mwenzake kilavo watakapopigwa mawe ndipo watakapoacha huo upuuzi wao
 
wachakachuaji hao. kama vip tuzame msituni, hakyanan ikitokea watu 10 kuniunga mkono nakuwa msatari wa mbele!!
 
Nimeona kwenye ITV, kwenye footnotes slaa amepinga matokeo. mwenye habari zaidi atueleze
 
kama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea wenye msimamo kama wangu unawaonaje?JK TULIA IKULU, TUMIKIA TAIFA LETU,JENGA NCHI NA WAHUDUMIE WANANkama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea wenye msimamo kama wangu unawaonaje? NAO NI PUNGUANI SAWA NA WEWE TU WALA HAKUNA KUFICHA EBO!
 
self-deception you don't see what is coming
Porojo tupige lakini kwenye ukweli tuwekane sawa, u-rais kwa slaa mwaka huu hakuna alichoibiwa, alihitaji kujitangaza zaidi, katika majimbo yote ~238 hata nusu ya majimbo Slaa hakuwa na watu bado, kule alipokuwa na watu pameonekana, na kura za watu wake hao hazitomfanya kuwa rais. ajiweke sawa 2015.
 
kikwete alisema hivi tukishindwa tunajishindisha

mnakumbuka kauli hii!!
 
Mtu wa Kwanza kulipa huu udhalimu ni huyu anayejiita Jaji sijui wa wapi Makame na huyo sijui KIRAVU hawa watu ni kuwakamata na kuwachapa viboko tuuu hadharani
 
Sasa kama anafanya utani. Kwa trend ilivyokuwa hata kwa kujumlisha jimbo kwa jimbo bado Dr. Slaa kura zake ni chache ukilinganisha na za JK. Kwa hiyo anapotoa hilo tamko ambalo ni batili nadhani anachochea machafuko yasiyo ya lazima. Mtoa mada pale juu anatamani kuwe na machafuko kama ilivyokuwa Kenya. Je kwa faida ya nani? Damu zinapomwagika, je ni za akina nani? Si ni watanzania hao? Mimi nadhani hayo ni mawazo hasi. Kwa sasa mimi nadhani sisi wana CHADEMA tuanze mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Huo ndiyo utakuwa ustaarabu mkubwa na sio kuchochea machafuko kama mtoa mada hapo juu anavyopendelea.

Hujamuelewa! Pole sana -- shule za kata zinaliathiri taifa hili!!! Amesema hizo kura zinazotangazwa na mawakala wa CCM -- yaani NEC) ni uongo -- siyo za kweli! Ni kidogo kwa sababu zimechakachuliwa.
 
nwachukia mpaka nakosa lugha ya kuelezea makame na kiravu wake, mungu awalaani kwa kudhulumu haki ya watanzania na vizazi vyao vyote, maisha yao ya uzeeni yawe ya taabu sana na mwisho waishie kuzimu kwa dhambi kubwa waloifanya kwa taifa la tanzania.

amen
 
eti nini?! Mnaogopa machafuko? Kum**nina zenu!! Yaani tukae kimya haki zetu zinaporwa?
hongera dr. Slaa kukataa matokeo ya kipuuzi haya. Kama noma na iwe noma.

ni bora kufa nimesimama kuliko kuendelea kuishi huku nimepiga magoti. Kama vipi tuzame mstuni au mwasemaje wabongo?
 
Sikubaliani kabisa na huu upuuzi unaotangazwa na hii tume ya KIKWETE na si tume ya Uchaguzi coz imeteuliwa na kikwete mwenyewe kwa kujiridhisha mwenyewe na si wananchi wenye nchi
 
Back
Top Bottom