Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

Pamoja na kwamba nimempigia Dr. Slaa kura yangu na namwona kama shujaa kwa hili la kupinga nasita kukubaliana naye. Kama ana data azitoe waziwazi. Kwa mafano kama anafikiri matokeo ya kura Jimbo la Arusha yamechakachuliwa aseme ni kwa kiasi gani tofauti na data alizopewa yeye. Ndio maana ya kuwa na mawakala. Pia ukiangalia Dr. Slaa hakupata kura nyingi kutoka maeneo ya Pwani ukizingatia kwamba hizi ni ngome za CUF na CCM. Pia pamoja na kukataa na kukemea udini swala hili limekuwepo kwa kiasi fulani hasa katika maeneo ya fulani fulani hasa nje ya Dar Es Salaam. Pia mikoa ya Tabora, Dodoma, Morogoro na Tanga bado ni bongo lala!!
 
sipati picha wananchi waliompigia kura watakapoanza kudai kura zao zinazoendelea kuibiwa.
Pole jeikei umejitakia mwenyewe haya

anzia na mziki wa mwanza nenda musoma iringa hujaja KILIMANJARO toa wapare hawa wana hela sana wanasomesha watoto wao hadi chuo........kusini na pwani nao wan hela za kulipa ada ...mtwara huko wana kil kitu tayari lami na miundo mbinu .
 
Kwa wanaobeza kama Selemani usidhani hili ni jambo la mzaha. Sisi sio watoto wadogo wa kudanganywa. Tumefuatilia matokeo yalivyokuwa yakitoka na tulikuwa tunaona kura zilivyopigwa. Iwaje vipi katika kutangaza yule aliyekuwa na idadi ndogo anakuwa na kura nyingi tena kwa percentage kubwa sana? Sisi tuna akili vile vile, tumeenda shule tuna Masters na Phd za ukweli na tunajua kinachoendelea. Kwa taarifa, tutapigania haki yetu hata kama tutapoteza maisha yetu, ili vizazi vijavyo viishi maisha mazuri. After all you only live once, so live it for a just cause.
 
This will be CiCiM chance to come clean for sure. If they don't respect people's will this will be their final verdict.

Once the OPPOSITION PARTY get the presidency in the future, ALL THESE FISADI's will go to jail. I will not care if they are 90yrs old or they were leaders. They will all have to answer their wrong doings they have been doing all along.

Tired of these F#%&N BS.
 
Baadaye Chadema itujuze matokeo ya ukweli waliyojumlisha wenyewe kutoka NEWS ROOM yao. Huo ndio utakuwa mwanzo wa mapambano mpaka kieleweke.
 
Hawa watu kama Selemani wana SELF-DECEPTION, They dont real get it, they can't see what is coming! usicheze na nguvu ya umma kaka
 
Nawaomba uongozi wa CHADEMA pale TUME wakitoa matokea ambayo sio sawa katika majimbo wangetupatia matokea yaliyo sahihi ili tujue tulivyoibiwa kura sisi wapenzi na wanachama wao wakikaa kimya tu itakuwa wanatuacha gizani hao ata wale mawakala wa majimbo wanjua matokea sahihi watupatie ili tujue jinsi walivyoyachakachua!!!
 
Ni kweli matokeo hayako sawa na mahudhurio ya mikutano... mlidhani kila aliyekuwa anakuja kwenye mikutano amewapigia kura? I question uzalendo wa Dr. Slaa.
mtu akiibiwa haki yake halafu akikaa kimya ni mzalendo??
nina mashaka na uzalendo wako pia.
mbona umefanya hivyo wakati unajua hamjashinda???
 
zubeda umenena,nahii Itv chadema wana shea au vp?mana hata wakat wakampeni walikua ni kupigia debe chadema na slaa,bahat yao jk hana visasi wangekoma itv ungekua ule utawala wa big ben che nkapa.

Hapo kwenye blue unauhakika napo? au unabwwatuka tuuu? Kimsingi, visasi ndivyo vinavyokiharibu Chama Chenu Cha Mafisadi...Usiongee vitu ambavyo vinachefua humu....GO TO HELL
 
watu wenye mawazo mgando utawajua humu,wanapinga yote mema ya slaa.waraka wa kuiba kura upo wazi!!mbinu za kitoto za kuchelewesha matokeo ziko wazi!!mnakataa nini wakati mnafosi ushindi???dawa iko jikoni

naomba kukuliza mara ya mwisho ulijitokeza kushiriki katika mikutano au maandamano ya kudai katiba mpya ni lini? Kama haujawahi kujitokeza kama walivyo watanzania wengi tokea vyama vya upinzania vilipoanzisha hoja hiyo, ndio maana ccm wanapata nguvu ya kuendelea kuimiliki tume ya uchaguzi.

Chukua hatua za kudai katiba mpya kuanzia sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!
 
Kwa nini Dr Slaa asiitishe maandamano? Tumechoka kwa kweli. Miaka mitano alianza na sukari sh 500, sasa ni sh 2,000, akimaliza baada ya 5 yrs itakuwa sh 6,000. Hivi Watz akili zetu ziko sawa, au kweli CCM imetuibia kura?
 
mbona hkna hata diskashen ndefu hapa? ishu ni wa2 kuburuzwa mahakaman basi.

JP, nadhani tume ikishatangaza matokeo ya Urais, hakuna anayeruhusiwa kupinga kikatiba, wala mahakama haiwezi kutengua.
 
hakuana kukubali Slaa mpaka kieleweke, hat kama ukishindwa ushindwe kihalali sio kuwa mtu wa ndio mzee. Hakuna kukubali mpaka uwiano uwe sawa na ule wa kura zilizopatikana majimboni. VIva Dr. Slaaa, n chadema we love u very much..
 
Back
Top Bottom