Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Ninyi ndo mnaleta uchonganishi , kwani umesikia katekwa nyarana kuuawa? ajari kwa mwaka huu tu zimeua watanzania wangapi.Je Mtikira yeye si binadamu kama wengine waliofariki kwa ajari? Watu kama hawa wanasitahili kukamatwa na kuhojiwa?!
Hawa CCM hawana hoja za maana tenaaaa,Wameishiwa. Sisi msimamo wetu ni uleule wa KUMCHAGUA EDWARD LOWASSA KUWA RAIS WETU.