idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,306
- 38,511
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.
Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.
Nashauri Dr. Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.
Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.
Ni mitazamo tu, msijenge chuki.