Propaganda duni.!Kiufupi hii nchi inaongozwa na Mfumo Katoliki na hii ni toka enzi za Nyerere kabla hata hao ccm hawajazaliwa sisi waislamu tumekuwa tukilalamikia hili kila siku na ndiyo maana waislamu mwaka huu tunamuunga mkono Mlutheri maana tunajua madhara ya mfumo katoliki kwa waislamu wa nchi hii!
Kama ndio propaganda za Ufipa hizi , basi hazina mashiko hata kidogo.!BREAKING NEWS.
Baada ya report ya utafiti ndani ya CCM kuonyesha kuwa kama uchaguzi ungefanyika tarehe 30/9/2015 magufuli ambaye ni mgombea urais kupitia ccm angepata chini ya 34.6% ya kura za urais.
Uwasilishwaji wa report hiyo ulifanywa na mmoja wa wahadhiri wa chuo kikuu idara ya sayansi ya siasa ikiwa kama moja ya tathmini ya kampeni ya ugombea urais wa ccm.
Report hiyo imekishtua chama cha mapinduzi na uongozi wake na hivyo kufikia maamuzi yafuatayo.
1. Kuwawezesha Dr.Slaa, Zito Kabwe na hamphrey Polepole kufanya kampeni za kumchafua mgombea wa CHADEMA Edward Lowasa kupitia kashfa ya Richmond.
Katika hili Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo amepewa majukumu ya kuwatumia Dr.Slaa na Hamphrey Polepole kwenye mikutano ya ACT huku akiwatambulisha kama wageni waalikwa.
Ikumbukwe kuwa ACT ni chama ambacho kilianzishwa kwa malengo ya kupambana na CHADEMA ili kurahishia CCM kazi.
Katika kutimiza hizi imetengwa bajeti ya shilingi 4.5bilions.
2. Mkakati wa pili ni kuhakikisha kuwa wanafarakanisha kundi la 4umovement kwa kununua waratibu wa 4umovement kwenye wilaya na mikoa.
3. Kugombanisha kundi la 4umovement na baraza la vijana la CHADEMA yaani UKAWA.
Katika kutimiza azimio namba 2 na 3 zimetengwa shilingi milioni 214 na kinara wa mkakati huu ni January Makamba kwa kushirikiana na Hamisi Kigwangala.
4. Dr Mwakembe na Samweli Sita wamepewa jukumu la kuhakikisha kuwa wanaandaa hotuba ya rais itakayotolewa tarehe 24/10/2015 ambayo rais atamtaja Edward Lowasa kama kinara wa Richmond huku akitaja makampuni anayomiliki Lowasa na kuyapa kashfa ya kukwepa kodi.
5. Magufuli alitakiwa aanze kutumia CHOPA kuanzia tarehe moja ila kutokana na yeye kusumbuliwa na tatizo la Moyo kakataa kutumia CHOPA kutokana na maelekezo ya madaktari. Hivyo CHOPA kuamuliwa itumiwe na ile timu ya kampeni na sio mgombea.
TUTAENDELEA KUWAJUZA MIPANGO YOTE MIOVU DHIDI YA MABADILIKO.
BREAKING NEWS.

Ninyi ndo mnaleta uchonganishi , kwani umesikia katekwa nyarana kuuawa? ajari kwa mwaka huu tu zimeua watanzania wangapi.Je Mtikira yeye si binadamu kama wengine waliofariki kwa ajari? Watu kama hawa wanasitahili kukamatwa na kuhojiwa?!
Hivi Gwajima kwenye kamati kuu ya chadema anaingia kama nani?
Chama cha kidini lazima kistaajabu tar 25
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.
Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.
Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.
Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.
Ni mitazamo tu, msijenge chuki....

Hata Hashim Rungwe ni mkristo?Na wagombea wote mwaka huu ni wakristo watupu saga chupa ubwie sasa.
mfumo kristo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Hicho ulichosoma ndicho alichoandika?Umeandika nini.?