Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Waislam tunawatumia tu kuingia ikulu ndio maana kwenye maamuzi yote mazito hawausiki. Chadema ni chama chetu wakristo.

Akili yako ni nyembamba sana. Unapata faida gani kushadadia vijisentensi vyako vya kibaguzi?
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....

We mchochezi unataka kuniambia mtikila ameuwawa na mtu? kama ccm mmemuua ili muitumie kuwabust mshindwe kabisa.
kama n mungu amemchukua hats slaa anaweza kuchukuliwa pia hata alindwe na wanajeshi 100, muache siasa chafu, cc tunataka kiongozi atakaetuongoza, slaa hana nafasi tena, umbea apeleke kwa mkewe.
 
Mimi sina bei hela za siasa nazikataa. Bora ray nyinyi chadema mmenunuliwa na yule mtoa uharo na pesa imeingia kwenye account ya Mbowe nyie nyumbu mnaimbishwa mapambio tu mangi anahesabu faida.

------------------------------------
 
...hamna dharau yoyote ndio ukweli halisi; ulimuona jana kwenye picha flani ilikua huku alivyosimama nyuma ya prezdaa,masikini,mikono kaiweka nyuma,uso mdogoo,mzee wa watu anaonekana dhahiri kujutia kitendo chake cha kuyasaliti mageuzi.
Tatizo yule mwanamke ndie alie mpoteza,ila yeye hata akatize k'koo saa 6 mchana naamini hakuna mtu atakae hangaika kumgusa,dhamira yake pekee inatosha kumshtaki,na ndicho kinachomtokea kwa wakati huu.
Kajimaliza mwenyewe...
CCM wanaweza kummaliza ili wapate kuzusha kuwa amemalizwa na upande wa pili ambao inaonekana kuwa ndio wagomvi wake kwa sasa.
 
Kila unachokiengea Unaonekana ni ushabiki na sio fact, shusha vielelezo kumshutumu Dr. Slaa?

Unataka vielelezo gani wakati alitangaza mwenyewe Serena Hotel, na Azam TV na Star TV kwamba ameachana na siasa (za upinzani)?
 
Kiufupi hii nchi inaongozwa na Mfumo Katoliki na hii ni toka enzi za Nyerere kabla hata hao ccm hawajazaliwa sisi waislamu tumekuwa tukilalamikia hili kila siku na ndiyo maana waislamu mwaka huu tunamuunga mkono Mlutheri maana tunajua madhara ya mfumo katoliki kwa waislamu wa nchi hii!

Leo nimejifunza jambo jipya..sikujua kama Kikwete na Bilali ni wakatoliki...
 
Mkuu nilikuwa @namkumbusha tu, hasa nikiangalia uelekeo wa siasa zetu za sasa , kuna kundi halipo tayari kukolewa wa kunyoshewa kidole.

Kama unamkumbusha si umfate kule Lumumba au Serena hotel ukamwambie...simbilisi wee
 
Hivi Gwajima kwenye kamati kuu ya chadema anaingia kama nani?

Chama cha kidini lazima kistaajabu tar 25
Siku hizi umeishiwa nguvu ndo maana hupatikani humu mara kwa mara, hoja zako ni udini tu na ukabila !!!? sijui utakuwa alshabab !!
 
Chadema ni chama chetu Wakristo, nashangaa wengine wanajipendekeza nini.

Hii sio ishara njema kwa nchi yetu kama nyie ndio wafuasi wa ccn na mnataka kuiongoza nchi hii tena..

Btw mimi sina dini, siipendi chadema nampenda Lowassa,waislam,wakiristo wanaojitambua vyema na wenye akili, wakiristo wapu...mbavu na wasio na akili kama wewe,waislam, wasio na dini kina kingunge,na dini yingine wanampenda Lowassa.
 
Dr. Slaa ndiyo nani kamaliza ile pesa au apewe ulinzi gani na nani?
 
Arudi US itakuwa bora zaidi.
Maana ajali ya Mtikila eti amepita dirishani akatoka nje gari ikamulalia badala ya kumgonga inatia shaka sana. Na hapo lori mbili zimemkosa na cruiser zimewakosa, yawezekana kweli ni ajali lakini inasumbua kichwa kuipata vyema.

Kwa kweli hapa mgaya amejikanyaga kanyaga maelezo yake yana ukakasi ni vyema angehojiwa vizuri kwa kiina na wataalam watabaini Ukweli.
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....

Pumba kabisa wewe...
 
mxiiiiuuuuuu hivi n nan ambae ana muda wa kuanza kupanga njama izo chafu hasa kipind hik cha lala salama??msiwage wachonganishi kwan uyo mtikila c kapata ajal kama ajal nyingine??inq maana izo ajal nyingine kama za kina mtoi alisababisha lowasa au kila ajal anasababisha loasa??
muachen baba wa watu mmemsema sana.....muachen apumue...mtu hajafunga mkanda, ametokea kioo cha mbele gar ikamlalia ulitegemea apone na gar ilikua mwendokas??stop your stupidity..........
 
Back
Top Bottom