Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Serikali haina uwezo wa kukulinda dhidi ya mpango wa Mungu.

Yaani namaanisha hivi.... pale unapokuwa na uadui na mpango wa Mungu. Mpango wa Mungu ukiamua kukupiga, hakuna namna serikali yeyote ile inaweza kukusaidia.
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....
Maana lowasa na akina mbowe ni wauaji
 
Waislam tunawatumia tu kuingia ikulu ndio maana kwenye maamuzi yote mazito hawausiki. Chadema ni chama chetu wakristo.
Ni kweli kabisa CHADEMA cha Wakristo kimeungana na CUF cha waislamu ili kuyafurumusha madarakani maccm ambayo ni chama mashetani na wachawi wote.
 
Mkuu pitia media za Rwanda leo hii wamezungumza mengi. Mtikila alikuwa anakuja kuanika kila kitu kuhusu mapesa machafu waliyotakatusha pale mcity. Tatizo watanzania akili fupi wakiambiwa mtu kapata ajali wanakubali kirahisi. Awa mafia tunaenda kuwakata ndani mpaka nje.

Yaani mitanzania(Miafrika) ndivyo tulivyo kwahiyo usalama wetu wa taifa wamekaa kimya hawajitambui mpaka msaidiwe na wanyarwanda? hebu usidhalilishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
 
Yaani mitanzania(Miafrika) ndivyo tulivyo kwahiyo usalama wetu wa taifa wamekaa kimya hawajitambui mpaka msaidiwe na wanyarwanda? hebu usidhalilishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kama ni mpango wa Mungu, kusingekuwa na Uchunguzi wa polisi, kwa hiyo polisi wanachunguza mpango wa Mungu.?
 
Mimi sina bei hela za siasa nazikataa. Bora ray nyinyi chadema mmenunuliwa na yule mtoa uharo na pesa imeingia kwenye account ya Mbowe nyie nyumbu mnaimbishwa mapambio tu mangi anahesabu faida.
Kwa kwa kwa kwa kwakwa!! kituko cha mwaka hiki ati muimba bongo fleva hana bei na hataki pesa za siasa!!
kakwa kwa kwa kwa, ebu kajambe mbele huko
 
Poa njoo unikamate niongeze ushauri kwenye maoni yangu.
Usipokuwa makini na uchochezi wenzio watapiga kura ukiwa maneti , wewe mwaka sera za chama chako sio uchochezi kwa mambo ambayo huna ushahidi nayo. TAKE CARE.
 
Itakua vyema zaidi kwa usalama wake, japo moyo wake wa Uzalendo unaweza usikubaliane nae.!

Watu wengine ni wakuonea huruma sana. Leo Slaa ni mzalendo kwenu? Ajabu ya Musa hii au ni mapunguani kama alivyokuwa anajaribu kuwaelezea Kingunge kwa lugha ya kistaarabu jinsi mlivyo sasa hivi kwenye kilichokuwa chama chake.
 
Hana jipya huyo Dr mihogo, alijikoroga kutumiwa na ccm sasa hata ulinzi wanamnyima? mabadiliko lazma mwaka huu
 
Watakao mdhuru Slaa kama kweli ipo haja ya kufanyiwa hivyo ni washirika wake wapya wa sasa ili wapike propaganda yenye tija. Tuombe Mungu atuepushe na hayo
 
Hana jipya huyo Dr mihogo, alijikoroga kutumiwa na ccm sasa hata ulinzi wanamnyima? mabadiliko lazma mwaka huu
Mabadiliko ya kubambikiwa na Mbowe?
 
Watakao mdhuru Slaa kama kweli ipo haja ya kufanyiwa hivyo ni washirika wake wapya wa sasa ili wapike propaganda yenye tija. Tuombe Mungu atuepushe na hayo
Umeandika nini.?
 
Back
Top Bottom