Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Uko sawa lazima awe makini hao jamaa ni mafia,biashara zao zimehamia kwenye siasa,ukiingilia anga zao hawakawii kukutoa roho
Ndio maana ni lazima tuwang'oe CCM madarakani maana wameshindwa kabisa kulinda uhai na mali za wananchi wake such that watu wanakutoa roho at will!!
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr. Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki.

Slaa ni MNYAMA GANI SERENGETI!! Nani anamuhitaji katika safari ya sasa?
 
watu hawana shida naye, tatizo tu kama akianza kuropoka unafiki wake tena, Lowassa hatamjibu hilo liko wazi, wananchi ndio watamtokea wenyewe, saivi wanamuacha kiporo kwanza, kikiharibika wanakimwaga.
 
Watu wengine wana imani potofu. Sana.sasa unataka kusema.mtikila kauawa.
 
Watu wengine wana imani potofu. Sana.sasa unataka kusema.mtikila kauawa.

Hii ni tahadhali tu, kumbuka Dr.Slaa ametishwa sana wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Hata kifo Cha Mtikila bado kina makandokando mengi pia, hasa misimamo yake na kujichanganya kwa Mchungaji Mgaya.
 
watu hawana shida naye, tatizo tu kama akianza kuropoka unafiki wake tena, Lowassa hatamjibu hilo liko wazi, wananchi ndio watamtokea wenyewe, saivi wanamuacha kiporo kwanza, kikiharibika wanakimwaga.

Tunajua Lowassa hawezi kumjibu kwenye majukwaa, ila ananamna yake ya kumjibu.!
 
Hii ni tahadhali tu, kumbuka Dr.Slaa ametishwa sana wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Hata kifo Cha Mtikila bado kina makandokando mengi pia, hasa misimamo yake na kujichanganya kwa Mchungaji Mgaya.

Kwahio wote wanao kufa kwa ajali wanauwawa? Kwahio kila ajali inamakandokando? Jana walio kuwemo kwenye ile gari inaonekana wali vaa mikanda kasoro yeye marehemu. Na kawaida ukipata ajali bila kuvaa mkanda, lazima utupwe nje.
Tuna jua yatasemwa mengi kisa alikua na msimamo fulani. Juzi mgombea ubunge Nyasa kupitia chadema kapata ajali, mbona hamsemi kuhusu makando kando? Mgombea wa chadema Tanga, alipata ajali, mbona hatu sikia makando kando.
Leo tunaona watu wana komenti eti chadema wamemuua! Hizi nikauli za chuki.
Tuweni makini na kauli zetu, vyombo vipo na ukweli utajulikana.
 
Back
Top Bottom