Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Arudi US itakuwa bora zaidi.
Maana ajali ya Mtikila eti amepita dirishani akatoka nje gari ikamulalia badala ya kumgonga inatia shaka sana. Na hapo lori mbili zimemkosa na cruiser zimewakosa, yawezekana kweli ni ajali lakini inasumbua kichwa kuipata vyema.

Kwahiyo unabishana na dereva na abiria mwingie aliyekuwa kwenye gari au?? Alafu bahati mbaya au nzuri gari aliikodi hukohuko Njombe papo kwa papo kwahiyo hakuna njama zozote kwamba dereva alisetiwa.. Msije mkamuua Dr. Slaa tu alafu mkasingiziwa watu wengine.. Dr. Slaa kama unayaona yanayoendelea kuwa makini sana..
 
dr silaa tayari ana ulinzi, wewe hukufuatilia alipojieleza kwenye press conference!! au wameanza kumtelekeza baada yakuona hakuwa na effect yoyote? labda utueleweshe kuna ulinzi gani mwingine zaidi ya ule wa Kitengo?.

Basi na Mwiru apewe ulinzi
 
idawa mabandiko yako hunifanya niamini una uelewa mkubwa tu ila unajichetua, sijui ni kitu gani kinakumotisha uwe unajichetua!
 
Last edited by a moderator:
Dharau dhidi yake haziwezi kuzuia heshima yake hata kidogo.!

...hamna dharau yoyote ndio ukweli halisi; ulimuona jana kwenye picha flani ilikua huku alivyosimama nyuma ya prezdaa,masikini,mikono kaiweka nyuma,uso mdogoo,mzee wa watu anaonekana dhahiri kujutia kitendo chake cha kuyasaliti mageuzi.
Tatizo yule mwanamke ndie alie mpoteza,ila yeye hata akatize k'koo saa 6 mchana naamini hakuna mtu atakae hangaika kumgusa,dhamira yake pekee inatosha kumshtaki,na ndicho kinachomtokea kwa wakati huu.
Kajimaliza mwenyewe...
 
Acheni uchochezi wenu misukule ninyi!!! Aliyekuwa ktk gari na mtikila, amesema walipofika moro wakajaza mafuta na mtikila akufunga mkanda!!! Hivi ni nani anayejua impact ya kutofunga save belts!!?? Mnaona ajabu kutoka dirishani!! Je, hamkumuona dereva wa basi la tashiriff iliyotokea tanga last week, jinsi alivyotokea ktk wind screen ya basi!!!?? Na kulaliwa na basi lile!!!? Mbona ninyi mnaojitoa ufahamu bure!!!! Tunajua mnataka madaraka, ila muogopeni mungu, maana kila jambo lifanyalo analiona na anajua dhamira yake!!
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....

Nawe kajiunge kwenye jopo la walinzi wake ili uongeze umakini zaidi kwenye huo ulinzi
 
...hamna dharau yoyote ndio ukweli halisi; ulimuona jana kwenye picha flani ilikua huku alivyosimama nyuma ya prezdaa,masikini,mikono kaiweka nyuma,uso mdogoo,mzee wa watu anaonekana dhahiri kujutia kitendo chake cha kuyasaliti mageuzi.
Tatizo yule mwanamke ndie alie mpoteza,ila yeye hata akatize k'koo saa 6 mchana naamini hakuna mtu atakae hangaika kumgusa,dhamira yake pekee inatosha kumshtaki,na ndicho kinachomtokea kwa wakati huu.
Kajimaliza mwenyewe...

Kila unachokiengea Unaonekana ni ushabiki na sio fact, shusha vielelezo kumshutumu Dr. Slaa?
 
Lazima uhangaike na uhai wa mumeo Slaa, fahamu hakuna wa kumdhuru Mzee...
idawa kumbuka mmeo Slaa katika kauli zake hakumuona Mtikila kama mwana mapinduzi

Mzee Slaa tunamheshimu kama mwana mageuzi yeyote...
 
Last edited by a moderator:
idawa mabandiko yako hunifanya niamini una uelewa mkubwa tu ila unajichetua, sijui ni kitu gani kinakumotisha uwe unajichetua!
Mkuu muda wote nimekuwa nikiheshimu post zako ,zaidi ni busara na ujumbe wako.

Ila nahisi tupo njia moja ila kwenye hitimisho ndio tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Lazima uhangaike na uhai wa mumeo Slaa, fahamu hakuna wa kumdhuru Mzee...
idawa kumbuka mmeo Slaa katika kauli zake hakumuona Mtikila kama mwana mapinduzi

Mzee Slaa tunamheshimu kama mwana mageuzi yeyote...
Humu Jf tunavumiliana tu sababu ya fake I'd.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ushawai kumuona muislam anamsogelea lowassa kwenye mikutano yake? Angalia team ya kampeni ya lowassa kama kuna muislam. Babu duni ameshatelekezwa. Chadema ni yetu wakristo hatupendi baragashia, tunawatumia tu kuingia ikulu.

Kiufupi hii nchi inaongozwa na Mfumo Katoliki na hii ni toka enzi za Nyerere kabla hata hao ccm hawajazaliwa sisi waislamu tumekuwa tukilalamikia hili kila siku na ndiyo maana waislamu mwaka huu tunamuunga mkono Mlutheri maana tunajua madhara ya mfumo katoliki kwa waislamu wa nchi hii!
 
ccm mnalala na viatu na miwani ukawa imewakalia pabaya
 
Back
Top Bottom