Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....

  • Robot
    admin.png
    Array

    Join Date : 11th February 2006
    Location : Here...!
    Posts : 9,611
    Rep Power : 100000
    Likes Received6806
    Likes Given11129​

    icon1.png
    Re: Special Programme on ITV Tonight

    Mtikila anasema

    - Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya ya kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

    - Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

    - Sikupewa ulinzi nilivyokuwa Tarime na kujikuta napigwa na kutokwa na damu yangu.

    - Nimetubu

    Mwisho
    Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na
    Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanzania

    ​

    Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!:coffee:
    24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com

    ​

  • ​

  • icon1.png
    Re: Special Programme on ITV Tonight

    quote_icon.png
    By Invisible
    Mtikila anasema

    - Nililipwa kwa kazi niliyokuwa nafanya kwa kusema uwongo kuhusu Uchaguzi wa Tarime na Chacha Wangwe

    - Niliahidiwa kupewa ulinzi mkali katika harakati za kufanya hiyo kazi.

    - Nimetubu

    Mwisho
    Nia yangu ya kutetea taifa langu la Tanzania iko pale pale na nina sababu zote za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi yangu ambazo tumepewa urithi kwa ajili yetu na watoto wetu haziporwi na
    Mafisadi na Magabachori bali zinavunwa na kutumiwa kwa manufaa ya wana na mabinti wa nchi yangu Tanznaia
    ​

    Sijawahi ona mzee mwenye akili mbovu kama huyu!!! anasema hivyo ili iweje tuanze kumuonea huruma au?mbona hakusema hayo yote wakati anakua approached anakuja kusema wakati kesha kula hizo hela au zimeisha hakuongezwa nyingine?​

    He who wants to keep his garden tidy doesn't reserve a plot for weeds
    ​

    ​
Kwa nini usitazame kutoka upande mwingine wa sarafu??

Mambo ya uchunguzi na uchanganuzi yana wenyewe tena yanasomewa. Usilolifahamu litakusumbua.

Pengine ungemshauri Dr. Slaa awe mkweli wa kufanya assignments anazopewa bila kuwa na second thoughts!.

How do you see this?
 
Arudi US itakuwa bora zaidi.
Maana ajali ya Mtikila eti amepita dirishani akatoka nje gari ikamulalia badala ya kumgonga inatia shaka sana. Na hapo lori mbili zimemkosa na cruiser zimewakosa, yawezekana kweli ni ajali lakini inasumbua kichwa kuipata vyema.

Ngoja tuwe wavumilivu ukweli utafahamika tu.!
 
Uko sawa lazima awe makini hao jamaa ni mafia,biashara zao zimehamia kwenye siasa,ukiingilia anga zao hawakawii kukutoa roho
 
Arudi US itakuwa bora zaidi.
Maana ajali ya Mtikila eti amepita dirishani akatoka nje gari ikamulalia badala ya kumgonga inatia shaka sana. Na hapo lori mbili zimemkosa na cruiser zimewakosa, yawezekana kweli ni ajali lakini inasumbua kichwa kuipata vyema.

Mkuu pitia media za Rwanda leo hii wamezungumza mengi. Mtikila alikuwa anakuja kuanika kila kitu kuhusu mapesa machafu waliyotakatusha pale mcity. Tatizo watanzania akili fupi wakiambiwa mtu kapata ajali wanakubali kirahisi. Awa mafia tunaenda kuwakata ndani mpaka nje.
 
Chadema ni chama chetu Wakristo, nashangaa wengine wanajipendekeza nini.

Na wagombea wote mwaka huu ni wakristo watupu saga chupa ubwie sasa.
mfumo kristo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Mkuu pitia media za Rwanda leo hii wamezungumza mengi. Mtikila alikuwa anakuja kuanika kila kitu kuhusu mapesa machafu waliyotakatusha pale mcity. Tatizo watanzania akili fupi wakiambiwa mtu kapata ajali wanakubali kirahisi. Awa mafia tunaenda kuwakata ndani mpaka nje.

Hapo kuna elements za umafia, mafioso. Inawezekana je mtu atoke kioo cha mbele gari lisimkanyage na badala yake limlalile?
Slaa arudi zake US, week nne sio nyingi.
 
Tupo kwenye sintofahamu kuhusu kifo Cha Mch. Mtikila, sote tunatambua harakati kipindi cha uhai wake, ila safari hii harakati zake ziligusa treni ya mwendo kasi.

Dr.Slaa ni mzalendo aina ya Mtikila, Uzalendo wake unagusa maslai ya kundi Fulani, ambalo limejiandaa kwa gharama yoyote ile liende ikulu.

Nashauri Dr.Slaa kwa muda aliopo nchini awe makini kuliko wakati wowote ule, nafahamu umakini wake ila namkumbusha tu.

Siasa zetu kwa wiki tatu zilizobaki ni za hatari zaidi kuliko miaka mitano ijayo.

Ni mitazamo tu, msijenge chuki....
chanzo cha kifo cha mtikila ajali ya gari hakufunga mkanda sintofahamu inatoka wapi?
 
Na wagombea wote mwaka huu ni wakristo watupu saga chupa ubwie sasa.
mfumo kristo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Waislam tunawatumia tu kuingia ikulu ndio maana kwenye maamuzi yote mazito hawausiki. Chadema ni chama chetu wakristo.
 
Slaa apewe ulinzi wa nini?Nani mwenye muda nae?
Huyo hata aitishe mkutano MwembeYanga hana effect yoyote.
 
Dr Slaa si alisema anastaafu siasa?

Amestaafu siasa ila bado ni raia kama wewe. Ana maamuzi ya kuunga harakati upande unaomfaa.

Au hujamsika Kingunge, amestaafu siasa lakini anamuunga mkono Lowassa.
 
Serikali haina uwezo wa kukulinda dhidi ya mpango wa Mungu.
 
Dr Mihongo atapewa ulinzi mara ngapi si analindwa na Green guard!!
 
Back
Top Bottom