Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,280
- 1,293
Nape amelaaniwa!!!Kwa Mujibu wa Nape Nnauye hao wanasubiri kufa
Last edited by a moderator:
Nape amelaaniwa!!!Kwa Mujibu wa Nape Nnauye hao wanasubiri kufa
jamani mie niko maeneo haya ukweli ni kwamba mkutano umekosa watu kabisa,watu wote wamekwenda uwanjani kuwaona simba,nimeamini watanzania wanapenda soma,huwezi amini uwanja umetapika nakadiria zaidi ya watu efu tisa hawa,hakika tukunali tukatae ukweli utasema Mwigulu anakubalika kupita maelezo,huu umati ni ishara Tosha,yaani hii nyomi hakika sio ya kawaida
Teh teh teh, mtahangaika sana kuweka picha za mwaka juzi, ila muda sio mrefu aibu ya Dr Slaa itaanikwa hapa jamvini.
Kama uko feild kama unavyojigamba hapa si ulete picha?Au hizo picha unasafirisha kwa basi mkuu?
Kijana msomi unafanya kazi kijima kiasi hiki?Kama mimi ni wa mitandao tu utaona.Wewe na katibu wa itikadi na uenezi mlivyogomea mjadala kwenye kituo cha TV mlihofia nini?You are not in my league dude!Sana sana unaweza kuwapotosha wachache na kuwatembeza kama bango.Tafuta saizi yako au omba ushauri kwa katibu wako wa itikadi na uenezi.Sina tabia ya kubishana zaidi ya kutenda.
poleni sana, ndugu wana cdm, hayo ndiyo mambo ya siasa, ila ni muhimu muwe wavumilivu na mpunguze matusi, wenzenu wanapoleta thread zao. sioni sababu ya wewe kutumia matamko kama hayo. Vumilia ndugu
Yupo busy anatafuta mtu wa ku-edit ktk photoshop....maCCM hata mtu wa graphic design ni kanjanja....ndipo walipojidanganya..anasubiri Nape atoe pesa za kutosha yeye kupiga panga ndipo akampe kijana down the next street afanye anajua bila hata hili gamba kuangalia.hadi lije umbuka humu ndani.
Yupo busy anatafuta mtu wa ku-edit ktk photoshop....maCCM hata mtu wa graphic design ni kanjanja....ndipo walipojidanganya..anasubiri Nape atoe pesa za kutosha yeye kupiga panga ndipo akampe kijana down the next street afanye anajua bila hata hili gamba kuangalia.hadi lije umbuka humu ndani.
Hivi wewe lile panga la Wanyarwanda alijakupitia kweli?
Maana IP address yako inaonyesha bado upo Kagera ingawa wewe ni Mnyarwanda.
Mkuu Ben sasa kila mtu akipinga chadema ni muongo sasa nani mkweli naomba nikukumbushe kitu,Mkuu hapa ni lazima tulinde heshima ya jukwaa na siamini kama sasa kuna Mods wachache wananufaika na uongo wa hawa watu dhidi ya CHADEMA.Nimekua na JF tangu nikiwa kijana mdogo,siku zote tumekua tukilinda heshima ya JF.Wanachama tuliwajibika kuijenga JF na kuilinda dhidi ya maadui,Tusiiharibu.Tuwe makini na waongo hawa.
Unapoandika uongo uwe unakumbuka kuangalia na muda, ona sasa ulivyoumbukahabari za uhakika kutoka iramba ni kuwa uwanja umejaa pomoni na shughuli ya kuhamasisha ndo inaendelea,wasiwasi ulikuwa ni mabomu yaliyotoka china lakini mpaka sasa hali ni shwari.
Samahani mkuu, una sumu hapo??Unakurupuka.Kubadili ID hakutabadilisha hali yako mbaya kisiasa mzee.Badilisha mbinu.Umekwisha
Mlishe sumu huyoMkurupukaji?Siasa za kihuni hizo.Jibu hoja zake.Kutumia ID fake kusikufanye uwe jasiri kiasi hicho.Hujui lolote kuhusu kompyuta.Shusha nyanga.You are just paranoid!
Mkuu, atakubali kustaafu kwa hiyari?, au ndio mpaka asombwe na koleo?
Halafu si unajua hana pensheni?, sijui atamlea vipi Josephine?
Kweli mkuu, kama CHADEMA ikiendelea kulea watu aina ya Dr Slaa basi kitakuwa sio chama cha siasa bali ni ghala la kulea wazee.
Mkuu Ben sasa kila mtu akipinga chadema ni muongo sasa nani mkweli naomba nikukumbushe kitu,
kuna siku ulianzisha uzi kuhusu kijana aliyepigwa katika uchaguzi mdogo Arusha ukasema amepigwa
hali yake ni mbaya anataka kupelekwa KCMC nikakwambia habari zile ni za uongo ukabisha!
Ni vizuri zaidi na wewe kujitahidi kusikiliza habari za watu wengine unapopata ushahidi ndio ubishe
sio kila habari ni ya ungo mbona habari ikiletwa na Molemo,Arushaone,Mungi,Yericko,Aweda,Crashwise and etc
huipingi au kwasababu ni homeboy? Ahsanta.
Hivi wewe lile panga la Wanyarwanda alijakupitia kweli?
Maana IP address yako inaonyesha bado upo Kagera ingawa wewe ni Mnyarwanda.
Mlishe sumu huyo
Samahani mkuu, una sumu hapo??