Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Anayemtisha ni kivuli chake mwenyewe cha usaliti
Anayemtisha ni kivuli chake mwenyewe cha usaliti
Dhambi ya usaliti inamtesa
dhambi ya usaliti mbaya sana! itakutafuna kokote uendako dr.mihogo.
Kama habari hii ni ya kweli, arudi. Hiko kitu hakiko Tanzania. Wana njia mbadala ya kukumaliza. Wanaweza tu kuacha kukupa hi, ukikutana nao kama hawakujui, hawakualiki popote. Utasononeka wee; stress, depression, bp ndiyo maradhi yatakuwa yanakuandama.Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Mkuu umenifurahisha sana: mtoto wa mwalimu hawezi kufeli!Nimepata tenda kwenda kutembeza kichapo zenj. Mtoto wa mwalimu hawezi kufeli, tutafuta mtihani mara 30 ikibidi ila tunabana matumizi kuficha madubwana ya kule mjengoni.
Hivi ngosha hajafuta allowance zako aisee? Ngosha simuamini kabisa
Slaa si muungwana kabisa aliwezaje kukaa kimia kwa siku zote hizo huku Lowasa akimjua kuwa ni mbaya. Sheria za moyo safi huwezi kusema ati ulijua na muuaji kesha ua, wana ccm mnamsifia tu lkn hana wema wowote aliofanya. Sheria ya ndoa siku ya ndoa kasisi huuliza je kuna mtu mwenye neno juu ya ndia hii na aseme sasa kama atashindwa kujitokeza kasisi husrma badi anyamaze milele. Alijua El anapewa nafasi na huku mwizi alihusika kikamilifu kumpokea ilikuwaje akaropoka baada ya mwezi mzima kupita tena kwa kuletwa kwa kufichwafichwa nyuma ya hotel atubu dhambi hiyo mbele ya watz ndiyo ataponaBado hamjajifunza tu kuweka akiba ya maneno? Jifunzeni mfano huu kutoka kwa Zitto, mlimwita msaliti na kila aina ya majina ambayo hakustahili kupewa. Leo kwa unyenyekevu mme.muinamia Zitto na kumlamba miguu nyie pamoja na viongozi wenu bado hamjajifunza tu?
Slaa si muungwana kabisa aliwezaje kukaa kimia kwa siku zote hizo huku Lowasa akimjua kuwa ni mbaya. Sheria za moyo safi huwezi kusema ati ulijua na muuaji kesha ua, wana ccm mnamsifia tu lkn hana wema wowote aliofanya. Sheria ya ndoa siku ya ndoa kasisi huuliza je kuna mtu mwenye neno juu ya ndia hii na aseme sasa kama atashindwa kujitokeza kasisi husrma badi anyamaze milele. Alijua El anapewa nafasi na huku mwizi alihusika kikamilifu kumpokea ilikuwaje akaropoka baada ya mwezi mzima kupita tena kwa kuletwa kwa kufichwafichwa nyuma ya hotel atubu dhambi hiyo mbele ya watz ndiyo atapona
Hizi story za ufisadi wa Lowassa bila ithibati miaka sasa hamjisikii aibu kuendelea kuzileta hapa?Wangapi wametubu? Mbowe na wanafiki wenzake lini wametubu kwa watanzania kutuaminisha kuwa Lowassa sio fisadi, au lini wametubu kwa watanzania kutuaminisha kuwa Zitto sio msaliti?
Hizi story za ufisadi wa Lowassa bila ithibati miaka sasa hamjisikii aibu kuendelea kuzileta hapa?
mkuu....tukio la kuinamishwa limetokea wapi?Bado hamjajifunza tu kuweka akiba ya maneno? Jifunzeni mfano huu kutoka kwa Zitto, mlimwita msaliti na kila aina ya majina ambayo hakustahili kupewa. Leo kwa unyenyekevu mme.muinamia Zitto na kumlamba miguu nyie pamoja na viongozi wenu bado hamjajifunza tu?
Hujaelewa tatizo lipo kwenu. Kwa nguvu zote mnamwita Slaa msaliti na kumtaka atubu.
Nimeuliza wangapi wametubu? Mbowe na
wanafiki wenzake lini wametubu kwa
watanzania kutuaminisha kuwa
Lowassa sio fisadi, au lini wametubu
kwa watanzania kutuaminisha kuwa
Zitto sio msaliti?
Kwani Lowasa ni fisadi?
Ameiba nini?
Tunawataka mumpeleke mahakamani...la sivyo fungeni mabakuli yenu
Chadema na vijana wake dawa yao ni Zitto. Kaondoka kwenye chama chao na bado akarudi bungeni (hawakutaka). Karudi bungeni kaanza kuwaonyesha kuwa akili yake ni kubwa. Anapiga ngoma jamaa wanacheza! Mwisho wa ubaya aibu. #UNAFIKIHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Nadhan wwe ndio umekua mvivu kufikiri vzr kupitia kichwa umeambiwa kuunga mkono hoja sio dhambi so unawapa lawama za nini chadema
Naomba unioneshe bandiko langu la aina yyte nikimziaki Dr slaa kirikou Jaribu kutumia kichwa chako kwa kufikiri na si kukiacha kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yakoHakuna anayewapa lawama Chedema. Tunachoangalia hapa ni unafiki unaofanywa na viongozi wenu! Leo wamewaaminisha kuwa Slaa ni msaliti, na nyie pasipo kutumia akili mnapelekwa tu kama mang'ombe!
Wacha wee tuachane na mengine yote nijibu tu kwa ithibati ufisadi wa LowassaHujaelewa tatizo lipo kwenu. Kwa nguvu zote mnamwita Slaa msaliti na kumtaka atubu.
Nimeuliza wangapi wametubu? Mbowe na
wanafiki wenzake lini wametubu kwa
watanzania kutuaminisha kuwa
Lowassa sio fisadi, au lini wametubu
kwa watanzania kutuaminisha kuwa
Zitto sio msaliti?
Kujua Lowassa ni fisadi au sio fisadi tumewaachia kina Mbowe watoe ushahidi wa kuridhisha kwani wao ndio waliotuamisha Lowassa ni fisadi kwa miaka mingi tu!
Naomba unioneshe bandiko langu la aina yyte nikimziaki Dr slaa kirikou Jaribu kutumia kichwa chako kwa kufikiri na si kukiacha kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yako