Kila mtu anamapungufu yake, wacheni aseme anachijisikia, ila tambueni kuwa kama siyo yeye chadema leo isinge kuwa hapo ilipo.
Wengi inatuuma sana kuona amebadilika ila ni busara kumpa heshima yake, huenda sikumoja akabadilika.
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini ni me lazima
kuliweka kama angalizo.
Umesahau kitu kimoja.Dr alifungiwa nje akalala kwenye gari kuamka asubuhi shingo,kiuno na mbavu zote zimekaza na maumivu makali akambiwa na Mama Mshumbuzi achague siasa au apigwe talaka rejea ?.Dr Mihogo akakimbilia Serena kubwabwaja akidhani atakuwa na impact ya maana kumbe wapi waTanzania wameamua safari hii ni mabadiliko.
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
Ukitaka kuheshimiwa na wengine jifunze kuwaheshimu wengine.WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
Ataachwa vipi wakati anatumika mkuu, Dr. Slaa leo anatuambia tuchague ccm tukae kimya na tukubaliane tu kuwa ni sawa.
Na wewe tafakari mkuu ushauri wako siyo mzuri kabisa, angenyamaza tungemheshimu kweli lkn anatuambia tumchague Magufuli laa laa laa!!!!! aise hapana angesema Dotuvwa, H. Rungwe, Lema wa TLP au mama wa ACT ningemwuunga mkono.
ccm nitasema nooooooo!!!!!!!!!! siku zote.
Hakuna asiyemuheshimu Dr.Slaa kwa MCHANGO wake kwa UPINZANI.Ila kimoja tu alikosea,kuusikiliza moyo kuliko AKILI.
Alitakiwa kunyamaza au kuamua hata kuwasaidia vijana aliowatrain kwenye kampeni.Lakini yuko wapi???Anaenda kuwasaidia wale tuliotaka tuwatoe.
Wale walioikataa RASIMU yetu,hapo ndipo anaponishangaza.
... hahahahaaa! wale tuliotaka tuwatoe? si ndo wamekuja kwetu.
Erythrocyte, mimi adui mkubwa wa taifa naamini ni CCM na yeyote anayetoa ushirikiano kwa adui huyu ni adui yangu. Nilimkataa Zitto, nikamkataa Lipumba na hivyo hivyo japo kwa shingo upande, namkataa Dr. Slaa. Anayeunga mkono harakati za kuing'oa CCM madarakani ni rafiki yangu hata kama zamani alikuwa upande wa pili...hayo ndio mabadiliko. Katu sitamfuata mtu, nitaunga mkono juhudi za kuifuta CCM. Ndio maana ya hiyo signature yangu hapa chini.
Hao wageni waliokuja na Lowasa ndo wanamtusi!!
msimamo wangu huu utatekelezwa pale tu ambapo Dr ataheshimu pia kuheshimiwa .Erythrocyte, mimi adui mkubwa wa taifa naamini ni CCM na yeyote anayetoa ushirikiano kwa adui huyu ni adui yangu. Nilimkataa Zitto, nikamkataa Lipumba na hivyo hivyo japo kwa shingo upande, namkataa Dr. Slaa. Anayeunga mkono harakati za kuing'oa CCM madarakani ni rafiki yangu hata kama zamani alikuwa upande wa pili...hayo ndio mabadiliko. Katu sitamfuata mtu, nitaunga mkono juhudi za kuifuta CCM. Ndio maana ya hiyo signature yangu hapa chini.
Naunga mkono .Hata yeye aheshimu chama chetu