The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Hilo nyomi si la kawaida. Nimeangalia video picture. Watu walikuwa kama wamepagawa vile.
maneno mujaraab haya...
Uwanja wa Kambarage Shinyanga ni Uwanja wa Chama Cha CCM kama viwanja vyote vikubwa Mikoani na Jijini Dar-es-salaam
Kwahiyo kama wewe sio CCM then tafuta uwanja wako

Mkuu hata mimi nimepewa taarifa sasa hivi kwamba mkutano unafanyikia kwenye viwanja vya Lubaga Joshoni watu ni wengi haijapata kutokea! Watu wamejaa mpaka soko jipya Lubaga. Watu mpaka wa vijiji vya jirani na Manispaa ya Shinyanga wamekuja kwenye mkutano huo. Yaani naambiwa kwamba watu wameanza kuingia uwanjani tangu saa 5 asubuhi ilhali wakijua mkutano unaanza saa 10 alasri. Huu ni mwanzo tu kiama ni hapo tarehe 31/10/2010 mafisadi watakapong'olewa madarakani. Sasa naanza kuamini kuwa CCM hawashindi hata kwa 30% labda waibe kura.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...yethu na maria
Usiwe na wasiwasi. NDANI YA SIKU 100 VYOTE VITARUDI KWA WANANCHIlakini mkuu, huu uwanja ulijengwa na watanzania wote na sio wanaccm pekee