Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
Tabia ya kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli...ni ya ibilisi!!
Wabunge wa CCM kila mtu anajua ndio waongo wakuu wana pitisha vitu bungeni kwa kushangilia ..lkn maisha ya mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa magumu kila siku!!!!!
Sasa nani muongo hapa!!
Wewe nawe umekua mwanasiasa au njaa tu zinakusumbua.Ila jitahidi kuwavulia pichu wanaweza kuwakumbuka.
Mkuu atamuonyaje wakati mtembea na sumu alisema katumwa na babu!
Taratibu nyingine zinahalalisha wizi na ufisadi! Kwani ni kitu gani alichokisema Mh.Mbilinyi ambacho kinastahili kupelekwa kijiweni? Bila shaka wewe ni kati ya wakurupukaji! Tuambie kuanzia kifungu cha kwana cha hotuba yake hadi cha 13 wapi panaonesha uchache wa fikra?Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
juliana amesema kweli ongea dada usiogope kazi bado ipo.
Kuna watembea na sumu zaidi ya ccm? Kolimba,Mwakyembe,Mrema,Mwangosi,Kibona,Balali,Kubenea,......................;;;;;;;;;n.k n.kNa wewe hauko salamaslaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
si ndio maisha bora kwa kila mwananchi ya kwako unasifia mvua ndio maana imekunyea bila buku saba , jamvini huonekanihahahaaaaa. pole sana unayetoa siri za kitanda chako
maisha ni magumu kwako tu wewe ambaye unaishi kwa hisani za dr slaa
Kuna watembea na sumu zaidi ya ccm? Kolimba,Mwakyembe,Mrema,Mwangosi,Kibona,Balali,Kubenea,......................;;;;;;;;;n.k n.kNa wewe hauko salama
Spika wa bunge la Tanzania ni sawa na Remote Control ya Decoder!
Kamuulize Mwigulu...
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
naona mnaziota sana buku saba. siku mkizipata basi naona mtavua mpaka na pichu
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.
Taifa kwanza, Uzalendo mbele anae shabikia ccm usawa huu ana utindio wa ubongo
kwa hiyo unajuaje kama mie nasukumwa na buku saba na si uzalendo. mzalendo ni yule anayetetea serikali na chama tawala nyie wengine ni wasaliti na waganga njaa