Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Mmoja alikuwa "haambiliki" lakini mwingine anaambilika na kila mtu, Lowasa, Rostam, mkewe, wanae, wauza madawa, wezi wa mali ya umma, majangili, waganga wa kienyeji.............

Namsubiri aje ajibu....

Nani aliyefungulia wahuni lango la ikulu kuchezea rasilimali zetu....

Namsubiri anijibu Kati ya JK na Nyerere nani alifungulia fisi na mafisadi milango ya ofisi zetu za umma.

Atuambie nani muasisi Wa kashfa na mtetezi mkuu Wa MEREMETA...EPA...RICHMOND....ESCROW n.k n.k
FaizaFoxy kati ya Nyerere na JK nani kashindwa kuongoza nchi?
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona nabii kunguru kama Gwajima, Unajua Kova alimwambia haya sema yote uliyokuwa unamwambia Pengo.

Kova amamuuuliza ulisema Pengo anavaa pampers? Gwajima akakanusha akasema wananisingizia.

Kova akamwambia niweke audio yako hapa Gwajima alivyosikia hivyo akaanguka chini wakampeleka hospital anahema ovyo utadhani scania.
Acha chuki za kidini mkuu. Naye ni binadamu na anaumwa kwa sasa tafadhali
 
Vp ameenda nae kuombewa,kwa nn aende hospitali wakati huwa anawaombea watu kwa matatizo mbalimbali,mi nnadhani angeonesha kwa vitendo nfuvu ya anachokiamini na kukiaply kwa wngne,

Hata Yesu pale Goligotha aliulizwa swali hili uliloliuliza. Kafanye Homework ujue nini kilifuata!
 
Policcm wamemdhuru haijajulikana kama ni sumu au kipigo.

Nawe unaropoka tu mradi una mdomo. Ungekuwa unawekwa voucher ungeutumia vizuri. Wewe unadhani alihojiwa akiwa peke yake humo chumbani? Walikuwepo walinzi wake na pia mwana sheria wake anaitwa Mallya.
 
Kwani wewe hujui kuwa hawajamaa huwa wanakulana menyewe kwa menyewe na wakati mwingine hadi watoto?... au udadisi tu... BTW JK alikuwa sambamba na tume ya Warioba kwenye Serikali 3 hadi pale Pengo alipompiga mkwara...Why? ...

Za uso zipi kumwambia Pengo anavaa pampers?
 
Sijawahi kuona nabii kunguru kama Gwajima, Unajua Kova alimwambia haya sema yote uliyokuwa unamwambia Pengo.

Kova amamuuuliza ulisema Pengo anavaa pampers? Gwajima akakanusha akasema wananisingizia.

Kova akamwambia niweke audio yako hapa Gwajima alivyosikia hivyo akaanguka chini wakampeleka hospital anahema ovyo utadhani scania.

Kweli kabisa Una haki ya kumuona Gwajima kunguru...

Maana kumtukana kiongozi mkuu Kama Pengo ambae hata myie maelfu mmemshindwa kummudu ni upunguani hasa!!!

Hebu fikiria waislamu maelfu wanataka mahakama ya kadhi mpaka rais mwislamu amefyata mkia kwa matakwa ya akina Pengo....

Pengo ni mwamba Wa miamba nashukuru Leo umekubali kupitia hii post yako....

Pengo ndo anga ya Tanzania nimefurahi Leo ume appreciate kwa huu mchango wako.
 
Mkuu naona Leo upo kambi ya Baba Askofu Pengo

Teh teh teh
Mkuu wewe upo kambi Gwajima? Mimi nipo free kifikra nachangia kile ninachoana kwangu ni sahihi sina kambi mimi labda inawezekana haupendi ninachokiandika tuvumiliane ndiyo uhuru wa mawazo mimi sijawahi hata siku moja kuingilia fikra zako na mitazamo yako.
 
Kwani kufanya comparison ya level of development kunahitaji MTU uishi ktk vipindi vyote?

Leo tunafanya comparison ya karne ya 15 na Leo nani alikuwepo karne ya 15?

Simple question: nani kashindwa kutawala baina ya JK na Nyerere?

Kwa ujumla ni swali la kishamba mno! Sina mfano wakuelezea! JK na Nyerere unawaweka kwenye mzano mmoja? Shame on you! Heavy weight na uzito mwepes wapi na wapi?
 
Mkuu wewe upo kambi Gwajima? Mimi nipo free kifikra nachangia kile ninachoana kwangu ni sahihi sina kambi mimi labda inawezekana haupendi ninachokiandika tuvumiliane ndiyo uhuru wa mawazo mimi sijawahi hata siku moja kuingilia fikra zako na mitazamo yako.

Mkuu sijaingilia chochote kuwa huru tu....

Nimeshangaa tuu maana ile misimamo yenu dhidi ya kanisa katoliki na Pengo Leo unasimama kumtetea teh teh teh

Yaani kelele za mfumo Kristo na matusi yenu kwa kanisa katoliki Leo unasimama kushabikia Pengo...

Umeniacha mdomo wazi mkuu hujanikwaza hata....
 
Kwa ujumla ni swali la kishamba mno! Sina mfano wakuelezea! JK na Nyerere unawaweka kwenye mzano mmoja? Shame on you! Heavy weight na uzito mwepes wapi na wapi?

Asante mkuu shame on me!!!!

Kwahiyo Kati ya hao wawili yupi heavy weight na yupi uzito mdogo?

Simple question tu....
 
Namsubiri aje ajibu....

Nani aliyefungulia wahuni lango la ikulu kuchezea rasilimali zetu....

Namsubiri anijibu Kati ya JK na Nyerere nani alifungulia fisi na mafisadi milango ya ofisi zetu za umma.

Atuambie nani muasisi Wa kashfa na mtetezi mkuu Wa MEREMETA...EPA...RICHMOND....ESCROW n.k n.k
FaizaFoxy kati ya Nyerere na JK nani kashindwa kuongoza nchi?

Watakwepa swali hilo.
 
Kweli kabisa Una haki ya kumuona Gwajima kunguru...

Maana kumtukana kiongozi mkuu Kama Pengo ambae hata myie maelfu mmemshindwa kummudu ni upunguani hasa!!!

Hebu fikiria waislamu maelfu wanataka mahakama ya kadhi mpaka rais mwislamu amefyata mkia kwa matakwa ya akina Pengo....

Pengo ni mwamba Wa miamba nashukuru Leo umekubali kupitia hii post yako....

Pengo ndo anga ya Tanzania nimefurahi Leo ume appreciate kwa huu mchango wako.
Mbona unaniwekea maneno mdomoni tena nani kasema Pengo ni mwamba?

Yaani ulitaka nikufurahishe wewe nishangalie matusi ya Gwajima dhidi ya Pengo?

Mimi simuungi mkono Pengo kwa chochote kile namuheshimu kama kiongozi wa Catholic.
 
Mkuu sijaingilia chochote kuwa huru tu....

Nimeshangaa tuu maana ile misimamo yenu dhidi ya kanisa katoliki na Pengo Leo unasimama kumtetea teh teh teh

Yaani kelele za mfumo Kristo na matusi yenu kwa kanisa katoliki Leo unasimama kushabikia Pengo...

Umeniacha mdomo wazi mkuu hujanikwaza hata....
Nionyeshe wapi nimemtetea Pengo?
 
Back
Top Bottom