Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

Nigeria anafuata nini. watu na usomi wenu mnakataa lowasa siyo fisadi. lol
 
"Wakati wabunge wengine walipewa Tsh 40milioni kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za wabunge majimboni mkoani Arusha, EL alishinikiza Halmashauri kumpa Tsh 171milioni. Kama hiyo haitoshi, EL alishinikiza tena kupewa Shilingi Milioni 131 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi. Pamoja na kupewa fedha hizo jumla ya Tsh 302 milioni, hadi hiii leo naongea hapa, jengo la ofisi ya bunge huko kwa Lowasa, halijainuka kutoka kweye Foundation. Kwa nini nisimuite FISADI???

Hayo siyo yangu, nimeyasikia mwenyewe kwenye viwanja vya chuo cha Patandi huko Tengeru, Arumeru east, yametamkwa na DR. WILBROAD SILAA. Kwa waliozoea source, mimi mwenyewe ni source na nilikuwa kwenye viwanja hivyo.
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO VIPI..HAPO

Yani nyie mpaka aseme slaa ndio mjue lowassa ni fisadi,mbona hilo liko wazi sana,Nape kila wakati amekua akitamka hadharani,sisi wengine pia kila wakati tumekua tukikumbusha humu hata watoto wa chekechea wanajua neno fisadi maana yake ni lowassa,leteni kitu kingine,msipoteze muda kumchafua mtu amabe alishajichafua yeye mwenyewe!
 
"Wakati wabunge wengine walipewa Tsh 40milioni kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za wabunge majimboni mkoani Arusha, EL alishinikiza Halmashauri kumpa Tsh 171milioni. Kama hiyo haitoshi, EL alishinikiza tena kupewa Shilingi Milioni 131 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi. Pamoja na kupewa fedha hizo jumla ya Tsh 302 milioni, hadi hiii leo naongea hapa, jengo la ofisi ya bunge huko kwa Lowasa, halijainuka kutoka kweye Foundation. Kwa nini nisimuite FISADI???

Hayo siyo yangu, nimeyasikia mwenyewe kwenye viwanja vya chuo cha Patandi huko Tengeru, Arumeru east, yametamkwa na DR. WILBROAD SILAA. Kwa waliozoea source, mimi mwenyewe ni source na nilikuwa kwenye viwanja hivyo.
kumbe bora hata sitta ambae inasemekana kajenga ofisi huko urambo ana watu wanaiona na itaendelea kuwa ya serikali kuliko huyu mwizi
 
Nimeipitia Facebook Ya Nape Nnauye

[h=6]Haya tena wajumbe, ukumbi ni wenu kwa mwenye la kuchangia. [/h][h=6]Nape Nnauye anasema: "Watanzania walituamini.,wanatuamini na wataendelea kutuamini..,najivunia kuwa mwanaCCM...!"[/h][h=6][/h]
 
Teh!teh!kwi!kw!kwi! Lowasa angejua hasingeenda arumeru,mara wamezomewa mara katupiwa kombora na slaa!haya pambanaaaaaaa!
 
"Wakati wabunge wengine walipewa Tsh 40milioni kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za wabunge majimboni mkoani Arusha, EL alishinikiza Halmashauri kumpa Tsh 171milioni. Kama hiyo haitoshi, EL alishinikiza tena kupewa Shilingi Milioni 131 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi. Pamoja na kupewa fedha hizo jumla ya Tsh 302 milioni, hadi hiii leo naongea hapa, jengo la ofisi ya bunge huko kwa Lowasa, halijainuka kutoka kweye Foundation. Kwa nini nisimuite FISADI???

Hayo siyo yangu, nimeyasikia mwenyewe kwenye viwanja vya chuo cha Patandi huko Tengeru, Arumeru east, yametamkwa na DR. WILBROAD SILAA. Kwa waliozoea source, mimi mwenyewe ni source na nilikuwa kwenye viwanja hivyo.

Kama kweli mzee mzimza kavuta mkwanja kivile, kisha kachikichia nao kiaina, nadhani bora iwe hivyohivyo! Mbona Bongoland ni SHAMBA LA BIBI!
 
hii kauli naurudia tena humu jamvini na ninaomba mtu aweke kwenye rekodi kama mungu akitupa uhai ntaikumbushia.

tusije tukashanga E.L kuwa raisi wa hii nchi 2015. naomba niweke kwenye rekodi. huyu jamaa ana siri kubwa sana wazee.

siri gani ambazo wananchi hatuzihisi? kufa kwa balali, Nyerere, Kolimba etc? wizi wa epa,richmond,radar, meremeta? au kuna siri nyingine personal ambazo hatuzijui na kama zipo zitakua ni personal (Jk ni s*o*a, etc) hazitasaidia nchi yetu maskini. EL hana kipya chochote uchafu wote wananchi tunaujua na wahusika wakuu tunawajua.
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO VIPI..HAPO
Mie niliisha wahi sema Mara nyingi humu ndani kuwa Slaa anazeeka vibaya na anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa lazima
Dr. Slaa anatafuta umaarufu???!!

Hizi bange zenu nyie vijana wa ccm sijui huwa mnazivutiaga choo cha stand kwanza??
 
Unasemaje wewe?
Mamvi ampeleke Slaa mahakamani??
Ni sawa na swala kujipeleka kwa simba mwenye njaa kumshtaki chui!
 
hii kauli naurudia tena humu jamvini na ninaomba mtu aweke kwenye rekodi kama mungu akitupa uhai ntaikumbushia.

tusije tukashanga E.L kuwa raisi wa hii nchi 2015. naomba niweke kwenye rekodi. huyu jamaa ana siri kubwa sana wazee.
hakuna cha siri wala nini acha ushabiki wa kifisadi na kijima
 
Amshtaki tu huyu mwizi wa ndoa za watu pope ametoa kibali slaa akamatwe
 
Huyu Mmamvi kama sio mtu vile, yaani, lakini yetu macho. kwa nini anautaka urais kwa nguvu hivyo?
 
Mie niliisha wahi sema Mara nyingi humu ndani kuwa Slaa anazeeka vibaya na anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa lazima

Wewe ndiyo umezeeka kifikra na uwezo wako wa kufikiri ni kama wa CCM.Haya CCM ndio inazeeka ama CDM..........Kajipange upya
 
Wakuu, mpaka sasa tumebakiza kukusanya matokeo ya vituo vinne tu, narudi vituo si kata, vituo vya kupigia kura katika kata nne tofauti. Matokeo mpaka sasa yanasomeka hivi;

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22
 
Ushindi umeshakuwa confirmed!

Back
Top Bottom