Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

Hatuwezi kumkataa alishawahi kuwa waziri mkuu we2 nabado 2namuamini na kumtegemea sana cc kama wameru kwani ww ulishawahi ku2fania nn cc wameru.peleka siasa zako huko karatu kwenu mbulu ww ha2kutaki!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naunga mkono, hata kama ni mkongwe katika forum utafilisika kimawazo tu!! let it be the HOME of great thinkers as it is.
 
Ingekuwa vizuri zaidi Dr.Slaa akapeleka ushauri huo pia kwa Viongozi wa Dini!
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO VIPI..HAPO
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa
habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani
atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa
chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na
kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki
slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA
MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO
VIPI..HAPO

hawezi kupoteza muda wake kwenda mahakamani. halafu si mara ya kwanza kwa slaa kumwita hivyo!
 
Lowassa: Mimi mtu wa vitendo,porojo sitaki, "Sasa nimekuja kumpigia debe mgombea wetu, lakini debe nililokuja nalo si debe la matusi. CCM haina chuo cha matusi wanaoningoja nitukane sina matusi."
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO VIPI..HAPO
Mie niliisha wahi sema Mara nyingi humu ndani kuwa Slaa anazeeka vibaya na anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa lazima
 
hii kauli naurudia tena humu jamvini na ninaomba mtu aweke kwenye rekodi kama mungu akitupa uhai ntaikumbushia.

tusije tukashanga E.L kuwa raisi wa hii nchi 2015. naomba niweke kwenye rekodi. huyu jamaa ana siri kubwa sana wazee.
 
Huyu jamaa wakakti mwingine huwa nafikilia may be ni mzimu!
 
inaonekana lowasa anajua anachokifanya na habahatishi. Ngoja tusubiri
 
Mie niliisha wahi sema Mara nyingi humu ndani kuwa Slaa anazeeka vibaya na anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa lazima

ana umaarufu wa kutosha na hata akifa leo he left da legacy rather than mamvi ambaye steap aside yake wewe unaiita kustaafu
 
Hana lolote na anapoteza muda tu kuota ndoto za uraisi. Nyerere alimuonyesha kadi nyekundu kama John Malecela
 
Angalao Slaa amethubutu. Ngoja tuone kama waandishi wetu wataandika alichosema Slaa huko.
 
Lowassa: Mimi mtu wa vitendo,porojo sitaki, "Sasa nimekuja kumpigia debe mgombea wetu, lakini debe nililokuja nalo si debe la matusi. CCM haina chuo cha matusi wanaoningoja nitukane sina matusi."

Hoja ni rekodi yako si safi! Wewe ni fisadi, hata wenzako wanakufahamu hivyo! Kwamba utapanda jukwaani kupiga debe kwa ajili ya mkweo ilieleweka wazi. Najua kwa hilo la kutukana au hata kunanga Low-hasa asingethubutu. Anajua fika kwamba Ncha ya mkuki haijaribiwi kwa konzi!
 
Huyu jamaa wakakti mwingine huwa nafikilia may be ni mzimu!

Je waungwana humu jamvini si bado mnakumbuka utabiri wa T.B.Joshua, Mchungaji Mnigeria anayeheshimika, juu ya Mheshimiwa huyu pale alipomtembelea hekaluni kwake? TBJ HAKUUMA MANENO ALIPOSEMA "UTAKUJA KUSHIKA WADHIFA MKUBWA KABISA NCHINI KWAKO! Kazi kwako usiye amini kwamba haya yatakuja kutimia!
 
Hana lolote huyo El. kwanza kumuita fisadi ni kumsifia ni jambazi,mwizi kibaka laghai,mbona hukuwahi kukanusha mwl nyerere alivyo mwita mwizi hafai kuwa kiongozi,yeye lengo lake sioi awe nyoka wake wa bungeni awe anampa mabomu anayoshindwa kulipua kwa kuogapa kuambiwa alikuwaga wapi?.ndio maana akimnadi alisema pamela mwanae alimpenda lakini yeye anampenda zaidi alaaniwe mwizi mkubwa na mungu atampasua hayo macho kabisa kabla ya 2015 kwa laana ya watz.
 
Back
Top Bottom