GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msaliti balozi wa Sweden Ana zeeka vibaya atulie ale pensheni hayo ange ya pigania akiwa balozi ndani ya serikali. mkuu wa majeshi si rais mwenyewe au ye hajui



Fullstop, kwishaaaa
Msaliti wakati ule.
Sasa tunataka wapiga kelele wengi kadri iwezekanavyo bila kujali historia ya mhusika.
Kama sisi wengine tumeshindwa, acha wanaoweza kuikabili CCM hata kwa maneno wafanye hivyo.

Hii vita sio ya kila mtu!
 
Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.
Ushahidi kuwa CCM walifanya hilo kosa unao? Unamuamini Polepole tu

Wewe una ushahidi? Hizo sheria unafikiri kusema zimevunjwa huhitajika ushahidi sio mikelele ya Polepole na dhana fikirika yako wewe
 
Vipi, ule ubalozi alioewa na jiwe ilikuwa ni bahati mbaya?
Makusudi, Jiwe kuna watu waliwapenda kutokana na itikadi zao kuona zinafanana, ata Slaa angepata bahati kuwa Rais unafikiri asingemteua Jiwe? Itikadi zikiendana
 
Makusudi, Jiwe kuna watu waliwapenda kutokana na itikadi zao kuona zinafanana, ata Slaa angepata bahati kuwa Rais unafikiri asingemteua Jiwe? Itikadi zikiendana

itikadi gani? Za udikteta ama?
 
Chuki ipo kwenye Akili yako Tanzania ipo poaaa maisha wanaenda safiii
Na Rais Samia Suluhu Hassan tunaye mpaka 2030

Weekend watu wapozao viwanja maisha safi ayo mambo wewe umetoa wapi sijui migogoro !!!

Nchi inaumwa nani kakudanganya uko uliposikia wakuelekeze mgogoro upo wapi!!

ndani ya Jamhuri kuna mgogoro kwenye mkoa upi maliza kwanza novida kisha uje utuelekeze kwenye Shida wapi !!!

Mnadanganyana kitoto kabisa

Tanzania ni kisiwa cha Amani na RAIS WETU NI SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2030,,
LIJINGA HL WW NI MUNGU HD USEME HY MWIZI WA TAIFA MNAE HD 2030?
 
Kama watu wengi wangepata implication ya maneno ya polepole...hali ingekuwa hatari sana..


Lissu sioni akitoka jela soon...mwalimu wa Taifa, ataivunja vunja hii hoja na Cxm itabaki uchi,sema mwanga wa mshumaa kwenye kiza cha nchi unaonekana tu!


"YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETYMS, BUT NOT EVERYONE ALL THE TIME"
Dr. mihogo hana jipya.
 
Back
Top Bottom