Kuna jambo la kitaalam sana nilikuwa nataka kuandika hapa JamiiForums kuhusu Suala aliloibua Polepole, ila nimeamua kuliacha.
Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.
Polepole amerisk kwa ajili ya Tanzania kuvunja Sheria ya usalama wa Taifa ambayo akikamatwa ndani ya Tanzania atahukumiwa miaka si chini ya 20.
Watanzania hii ndio nafasi ya kuitoa CCM.
Sitachapisha jambo lolote nililolisikia au kuliona katika ofisi za Serikali au mifumo yake, hadi Watanzania wengi watakapo amua kuchukua hatua ya kwanza