google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,668
- 13,868
once a snitch always a snitch
Kwahiyo nkunda yeye anatakiwa kuangalia tu wakati nchi inatekwa!Kumtaka Nkunda achukue hatua haiwezi kumletea shida? Terrible! Naomba ufafanuzi wako
hatua ya kwanza ni ipi? tueleweshe wajinga tu wengiKuna jambo la kitaalam sana nilikuwa nataka kuandika hapa JamiiForums kuhusu Suala aliloibua Polepole, ila nimeamua kuliacha.
Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.
Polepole amerisk kwa ajili ya Tanzania kuvunja Sheria ya usalama wa Taifa ambayo akikamatwa ndani ya Tanzania atahukumiwa miaka si chini ya 20.
Watanzania hii ndio nafasi ya kuitoa CCM.
Sitachapisha jambo lolote nililolisikia au kuliona katika ofisi za Serikali au mifumo yake, hadi Watanzania wengi watakapo amua kuchukua hatua ya kwanza
Kanisa litangaze kutoutambua uchaguzihatua ya keanza ni ipi?
Kanisa likifanya hivyo maana yake hata kama njia inayofata ni ngumu kiasi gani itaweza kusamehewa na wananchi zaidi ya million 30hatua ya keanza ni ipi?
Kwani wanaodai *wanaitetea nchi " waliishawahi kuisha tangu Uhuru?Anasema:-
1. Nchi imepigwa bei.
2. Wanamtandao wameiteka nchi.
3. Wote wanaoitetea ama kuipigania nchi wanasulubiwa
Umeshaambiwa Lowasa, Kikwete na Rostam ni kundi la Mtandao! Yaani lao lilikuwa moja na Slaa hajawahi kuwa na ukaribu na Lowasa wala JK. Kwa muktadha uo Slaa alikuwa sahihi kupinga ugombea Urais wa Lowasa pale Chadema.yeye si alinunuliwa na Kikwete au amesahau? mwambieni sisi hatujasahau
Umeshaambiwa Lowasa, Kikwete na Rostam ni kundi la Mtandao! Yaani lao lilikuwa moja na Slaa hajawahi kuwa na ukaribu na Lowasa wala JK. Kwa muktadha uo Slaa alikuwa sahihi kupinga ugombea Urais wa Lowasa pale Chadema.
Mkuu umesahau mlikuwa mnatuambia kuwa Slaa anauza super market Canada? Au mmesahau List of Shame? Umeshasahau kuwa Lowasa na JK ni Boys II ambao walikuwa katika harakati za kusaka urais since 1995? Slaa hakuwa na ushirikiano wowote na JK, We muulize aliekabadilisha gia angani kwann alifanya vile na kwa maslahi ya nani?Mkuu unatuchukuliaje? Unataka tufukue makaburi? Mwakiembe alikua anafanya nini behind the scene kwenye ile press maarufu ya Slaa? na vipi umesahau Slaa alipokua anafatana na JK kwenye ziara zake baada ya ile press?
Kuwa keyboard warrior chap haina shidaAmemtaka Nkunda kuchukua hatua...naogopà hata kuandika
Mkuu umesahau mlikuwa mnatuambia kuwa Slaa anauza super market Canada? Au mmesahau List of Shame? Umeshasahau kuwa Lowasa na JK ni Boys II ambao walikuwa katika harakati za kusaka urais since 1995? Slaa hakuwa na ushirikiano wowote na JK, We muulize aliekabadilisha gia angani kwann alifanya vile na kwa maslahi ya nani?
Ulitaka amsapoti Lowasa?Aliniudhi huyu mzee kumsamehe siwezi.
Mh! naogpa sidhani kama atasalimika!
Amuomba Mkuu wa majeshi kuchukua hatua
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=J-0MItJauT9WC8D8
Yaani Slaa aache kumsapoti Magufuli,amsapoti Lowasa?Mkuu unatuchukuliaje? Unataka tufukue makaburi? Mwakiembe alikua anafanya nini behind the scene kwenye ile press maarufu ya Slaa? na vipi umesahau Slaa alipokua anafatana na JK kwenye ziara zake baada ya ile press?
mkuu, nakuteua kuwa DPO wetu huku JFNgoja niwatag akina Heche na Lema na CHADEMA
Tume hawakupaswa kukanusha tuhuma za Polepole badala yake walipaswa kutangaza kusimamisha chaguzi hadi Auditing ya Vyama na waangalizi wa Uchaguzi kukamilisha uchunguzi.
Ngoja nitoe brief details kuongeza nyama kwenye watakachojadili na wadau wengine wengi wakiwemo wananchi hata wakiwa wanamuelezea Lissu nini kimetokea wiki hii.
Anayeweza ku share na Viongozi wa Chadema kwenye mkutano wao ujao kujadili Kauli za Polepole na Watanzania na Mabalozi/Diplomats wa Mataifa washirika.
1. Katiba, hapa kuna element ya Uhaini (Lissu na Mawakili wa Chadema wanajua sheria kunizidi)
2. Data protection act, Cybercrime act
Sheria za bunge zinazohusu uhifadhi na uchakataji wa taarifa binafsi.
Kwa sheria zetu CCM anakuwa Data processor, kwa sababu anakusanya taarifa, ambaye anatakiwa awe compliance na Sheria zote za Data za Tanzania.
Katika website ya CCM ambayo mtu anaweza kujisajili kidijitali hakuna sehemu yoyote ambayo inamtaka mtu afanye consent, hakuna page au maelezo yoyote yanayosema kwa nini wanakusanya Taarifa binafsi(ikiwemo Number ya NIDA) na kama watakaa nazo milele au kwa Muda gani, hili ni kosa kisheria chini ya Sheria zetu za chini ya data protection act- Chadema wanasheria waanze kusoma hizi sheria.
Katika kipengele hichi cha sheria ya data protection, CCM, Tume na NIDA wanatakiwa mara moja kufanyiwa Auditing ya Cyber security compliance ya mifumo yao yote ya Tehama kabla hatua yoyote ya uchaguzi kuendelea
3. Integration ya mifumo ya NIDA.
Katika Sheria za uanzishwaji wa NIDA(ziko online), inasema hivi "NIDA ITAKUWA TAASISI PEKEE NCHNI YENYE RUHUSA YA KUKUSANYA NA KUTUNZA TAARIFA ZA UTAMBULISHO WA MTU"
kama umefanya Siphoned ya mifumo ya Taarifa ya NIDA (kuhamisha data kutoka database ya NIDA na kutunza kwenye database yako) NIDA wanatakiwa wakushitaki na kulingana na uzito wa kesi yako unakuwa umevunja Sheria za Usalama wa Taifa, ni Ukweli usiopingika Kuwa CCM inatumia APIs au direct connection na mifumo ya NIDA hili unaweza thibitisha hata sasa kwenye mfumo wa mtandao wa usajili wa CCM, ingiza taarifa zote zisizo sahihi, NIDA ndio itakwambia taarifa sio sahihi.
Hapa Chadema, vyama vyote, Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, Taasisi za Kiraia na NGOs zinatakiwa zidai mkataba uliotumika kati ya CCM na NIDA, pamoja na kufanyia auditing mfumo wote wa CCM kujua ni taarifa zipi CCM huzipata, wanazitumiaje, wanazitunzaje (Sheria za NIDA haziruhusu mtu yoyote zaidi yako kukutunzia namba yako ya NIDA ikiwa plain text bila kibali maalumu), na usalama wake.
4. Cyber Data Espionage
Cyber espionage, or cyber spying, is a type of cyber attack in which an unauthorized user attempts to access sensitive or classified data or intellectual property (IP) for economic gain, competitive advantage or political reasons.
Sheria za usalama wa Taifa (Nation Security ACT) inasema hivi huruhusiwi kumiliki/kushare any sensitive, classified document, information, code, password or hash inayoweza kutumika dhidi ya maslahi ya taifa. Bila ruhusa sahihi . Taarifa zote za NIDA ni sensitive na classified information, kwa ajili ya matumizi ya Serikali ya Tanzania pekee. Hapa lazima Chadema wadai taarifa binafsi za mainjinia wote walihusika kuunda mifumo ya CCM, Security clearance, setup ya development, access level waliyopewa, Chadema wana wanasheria wengi na wazuri waziangalie hizi documents.
National security act.
Data protection act
Cybercrime act
Katiba (hapa wao ni wataalamu sana)
Sheria za msingi za kuanzishwa tume za uchaguzi na NIDA.
Mwisho Chadema wamsafirishe Dr Slaa na viongozi wao wa mahusiano ya kimataifa nje ya Tanzania haraka iwezekanavyo kama wataka kuescalate hili swala kimataifa, they have a very strong case.
Dk. Slaa ana fiksi nyingi sanaaa mzee huyu! Hiyo ni hotuba ya Mwalimu Nyerere siyo kitabu. Ni hiyo aliyosema: "Mimi nang'atuka, naivua kofia ya Mwenyekiti wa CCM...ila naamini....bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba!" Agosti 16, 1990. Unaweza Google pdf.Mzee aliandika hadi kitabu