WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
Waarabu na wachina bei na reja reja1. Imeuzwa kwa nani? Lini? Shilingi ngapi?
2. Mtandao ni kina nani? How do they work? Tunawafahamu au hatiwafahamuu?
NKUNDA una maanisha Laurent Nkunda wa m23?!!Kumtaka Nkunda achukue hatua haiwezi kumletea shida? Terrible! Naomba ufafanuzi wako
Hakuna kitu hapoMh! naogpa sidhani kama atasalimika!
Amuomba Mkuu wa majeshi kuchukua hatua
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=J-0MItJauT9WC8D8
Mbwa wewe hatumtaki huyo Idi AminiChuki ipo kwenye Akili yako Tanzania ipo poaaa maisha wanaenda safiii
Na Rais Samia Suluhu Hassan tunaye mpaka 2030
Weekend watu wapozao viwanja maisha safi ayo mambo wewe umetoa wapi sijui migogoro !!!
Nchi inaumwa nani kakudanganya uko uliposikia wakuelekeze mgogoro upo wapi!!
ndani ya Jamhuri kuna mgogoro kwenye mkoa upi maliza kwanza novida kisha uje utuelekeze kwenye Shida wapi !!!
Mnadanganyana kitoto kabisa
Tanzania ni kisiwa cha Amani na RAIS WETU NI SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2030,,
Fine, issue is anachokisema leo kina substance? If yes, mpongeze lakini mlaumu kwa yaliyopotayeye si alinunuliwa na Kikwete au amesahau? mwambieni sisi hatujasahau
Fine, issue is anachokisema leo kina substance? If yes, mpongeze lakini mlaumu kwa yaliyopota
Chuki ipo kwenye Akili yako Tanzania ipo poaaa maisha wanaenda safiii
Na Rais Samia Suluhu Hassan tunaye mpaka 2030
Weekend watu wapozao viwanja maisha safi ayo mambo wewe umetoa wapi sijui migogoro !!!
Nchi inaumwa nani kakudanganya uko uliposikia wakuelekeze mgogoro upo wapi!!
ndani ya Jamhuri kuna mgogoro kwenye mkoa upi maliza kwanza novida kisha uje utuelekeze kwenye Shida wapi !!!
Mnadanganyana kitoto kabisa
Tanzania ni kisiwa cha Amani na RAIS WETU NI SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2030,,
Kumbe na wwe ni mpenzi wa unique facts' kama mimi . aise znapigwa nondo balaaMh! naogpa sidhani kama atasalimika!
Amuomba Mkuu wa majeshi kuchukua hatua
View: https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=J-0MItJauT9WC8D8
Unamtaka nani ?M
Mbwa wewe hatumtaki huyo Idi Amini
Chawa kama wewe utajua nini zaidi ya kuwaza tumbo lako tu?Chuki ipo kwenye Akili yako Tanzania ipo poaaa maisha wanaenda safiii
Na Rais Samia Suluhu Hassan tunaye mpaka 2030
Weekend watu wapozao viwanja maisha safi ayo mambo wewe umetoa wapi sijui migogoro !!!
Nchi inaumwa nani kakudanganya uko uliposikia wakuelekeze mgogoro upo wapi!!
ndani ya Jamhuri kuna mgogoro kwenye mkoa upi maliza kwanza novida kisha uje utuelekeze kwenye Shida wapi !!!
Mnadanganyana kitoto kabisa
Tanzania ni kisiwa cha Amani na RAIS WETU NI SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2030,,
Kwamba Slaa ni chawa sawa na Steve Mengele? Yuko 70 sasa, hana cha kupoteza, amefanikiwa kwenye mengi, tujikite kwenye hoja zake.Hana lipya huyo, Sasa anatafuta Fursa ya kudandia chama kingine apate marupurupu asepe