GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

GE2025 Dr. Slaa amejitoa mhanga!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna jambo la kitaalam sana nilikuwa nataka kuandika hapa JamiiForums kuhusu Suala aliloibua Polepole, ila nimeamua kuliacha.

Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.

Polepole amerisk kwa ajili ya Tanzania kuvunja Sheria ya usalama wa Taifa ambayo akikamatwa ndani ya Tanzania atahukumiwa miaka si chini ya 20.

Watanzania hii ndio nafasi ya kuitoa CCM.

Sitachapisha jambo lolote nililolisikia au kuliona katika ofisi za Serikali au mifumo yake, hadi Watanzania wengi watakapo amua kuchukua hatua ya kwanza
 
Kumtaka Nkunda achukue hatua haiwezi kumletea shida? Terrible! Naomba ufafanuzi wako
 
Lakini ukitafakari kwa kina Sana, utabaini pasipo kuacha shaka kwamba Hoja yake ina mashiko.
Siyo Siri hata kidogo, Nchi hii kwa sasa kuna mifarakano mingi Sana. Chuki ni kubwa sana kupita kiasi imetamalaki katika jamii. Hakuna tena utangamano wa kitaifa, uhasama ni mkubwa Sana.

Hatua za haraka Sana zinapaswa kuchukuliwa ili kuliponya Taifa!
 
Kuna jambo la kitaalam sana nilikuwa nataka kuandika hapa JamiiForums kuhusu Suala aliloibua Polepole, ila nimeamua kuliacha.

Suala la Polepole ni zito sana, Kisheria CCM hasa viongozi wote walichofanya kina makosa mengi makubwa, mojawapo ni Espionage chini ya National Security Act , katika Sheria zetu wote wanatakiwa kwenda Jela si chini ya miaka 20 hadi maisha.

Polepole amerisk kwa ajili ya Tanzania kuvunja Sheria ya usalama wa Taifa ambayo akikamatwa ndani ya Tanzania atahukumiwa miaka si chini ya 20.

Watanzania hii ndio nafasi ya kuitoa CCM.

Sitachapisha jambo lolote nililolisikia au kuliona katika ofisi za Serikali au mifumo yake, hadi Watanzania wengi watakapo amua kuchukua hatua ya kwanza
Kama watu wengi wangepata implication ya maneno ya polepole...hali ingekuwa hatari sana..

Lissu sioni akitoka jela soon...mwalimu wa Taifa, ataivunja vunja hii hoja na Cxm itabaki uchi,sema mwanga wa mshumaa kwenye kiza cha nchi unaonekana tu!

"YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETYMS, BUT NOT EVERYONE ALL THE TIME"
 
Lakini ukitafakari kwa kina Sana, utabaini pasipo kuacha shaka kwamba Hoja yake ina mashiko.
Siyo Siri hata kidogo, Nchi hii kwa sasa kuna mifarakano mingi Sana. Chuki ni kubwa sana kupita kiasi imetamalaki katika jamii. Hakuna tena utangamano wa kitaifa, uhasama ni mkubwa Sana.

Hatua za haraka Sana zinapaswa kuchukuliwa ili kuliponya Taifa!
Chuki ipo kwenye Akili yako Tanzania ipo poaaa maisha wanaenda safiii
Na Rais Samia Suluhu Hassan tunaye mpaka 2030

Weekend watu wapozao viwanja maisha safi ayo mambo wewe umetoa wapi sijui migogoro !!!

Nchi inaumwa nani kakudanganya uko uliposikia wakuelekeze mgogoro upo wapi!!

ndani ya Jamhuri kuna mgogoro kwenye mkoa upi maliza kwanza novida kisha uje utuelekeze kwenye Shida wapi !!!

Mnadanganyana kitoto kabisa

Tanzania ni kisiwa cha Amani na RAIS WETU NI SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2030,,
 
Back
Top Bottom