MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Angechuja ungepoteza muda wako kumaandika hapo... mbona hujamwandika Mrema au Dovutwa.. Hahaaa Dr. Slaa ni mwiba wa mafisadi
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Mrema na fahami dovutwa wamepanda umaarufu Dr slaa kashuka umaarufu!hahaha Lumumba buku7 mnalaana sio bure
Sure mkuu angalia hata makamanda wake walivyo kwa sasa mfano huyu morogoro choka mbaya na bangi juu.Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
Bora ukaendelea kubaki msalani tu!Nani amekwambia nilipigwa ban?
Toka nijiunge na JF mwaka 2013 Sijawahi kupigwa ban, maana nafuata sheria za JF ipasavyo.
Haya mabadiliko ya jina yasikuchanganye.
Kwa akili zako za msalani huwezi kufikiri tofauti.Sasa hapo umejibu hoja gani.
Kama ni padri slaa hujamtetea.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
huna authority ya kuwasemea watanzania...wewe ni dagaa baharini
wewe unayetumia jina lako una kipi kipya zaidi ya kusafisha viatu vya slaa
Dr.W.Slaa jitokeze hadharani uwambie watanzania ni lini utaoa? Kesi yako imefikia wapi?