Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.

kwenye hili aaaaah sapota wanajulikana tu.
 

takwimu atashusha kutokea wapiii?
toka lini maneno ya umbea ushakunaku yakawa na takwimu?
ndo mana unamuona amekuwa kimya kudhihirisha alichokisema ni ushankupe unafikuna tupu.
hapa hawezi kutia hata ukucha sembuse kidole.. subutu yake.
 
Hapa tunajadili majaaliwa ya Mzee Slaa kisiasa, hayo mambo ya ID kaulizane na misukule wenzio.

1. unajadili kama

a) mwanachama wa chadema

b) Mtanzania

c) mchochezi na machafuzi wa sifa na heshima za wengine.

2. Ni sababu zipi kwa dada na ushahidi usiyo na ubishi unakufanya uamini Dr Slaa kachuja

3. Unamshauri apumzike

a) wewe nidakitari, kiasi kwamba umempima na unafaham afya yake? weka ushahidi hapa tuamini hii kauli yako

b) unamshamshauri kama mwanachama wa chadema au wewe nimpiga debe wa CCM, haya ya cdm yanakuhusu? kivipi..

c) umewashauri wangapi ndani ya ccm mpaka sasa wakalee watoto na wajukuu?

Huu ni utovu wanidham na kukosa adabu kwa viongozi wa vyama vingine, CCM Jifunzeni kuheshim watanzania wengine.

By MUSSA ALLAN

Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!

Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?

Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?

Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?
 
watanzania wanamshangaa sana kwa tamaa aliyonayo ya madaraka

Usiwasemee Watanzani, sema wewe ndiyo unamshangaa. Kama ameweza tezi dume kwa kauli mbiu yake "Maisha bora kwa kila Mtanzania" na sasa imekuwa "Maisha hovyo kwa kila Mtanzania"
 
Nikikupa takwimu hutasadiki, utasema zimepikwa....kuongezeka kwa viti ktk serikali za mitaa ni kutokana na ugumu wa serikali yetu sikivu kuchukua maamuzi ya haraka ktk escrow saga na zilikuwa ni kura za hasira.Ushindi kwa upinzani ni kutokana na kudorora kwa ccm kadri siku zinavosonga mbele na si uhodari wa upinzani.Yani kwa hali ilivo sasa, ukiwekewa jiwe na ccm watu wengi watachagua jiwe sababu ya mengi yafanywayo na baadhi ya wana ccm wenye nafasi za juu.Nimemtaja zitto kukumbusha utofauti wa kipindi kile wakati cdm ipo juu na sasa cdm imepunguza speed.Watu makini cdm kwa sasa ni lissu tu sio dr wala mwenyekiti wenu.
 

Ni Buku 7 tu au leo mshahara umeongezwa Mwana Lumumba?
 

Moyo wangu hunituma kufanya majadiano yenye evidence, truth na dignity, majibu ya jumlajumla ndiyo hayo majibu ya

hovyo hayana base, msingi wa ukweli ni evidence, huna bora kukaa kimya. Nadhani hujajibu nilichokuuliza, naomba tu

ujibu hoja moja moja na kwa makini. lengo tuelewe msingi wenu upo wapi, please supporting data and evidence/valid documents.


 
Angechuja ungepoteza muda wako kumaandika hapo... mbona hujamwandika Mrema au Dovutwa.. Hahaaa Dr. Slaa ni mwiba wa mafisadi
 
Ma upuuzi ya namna hii nikuwaachia buku saba wajadili...
 

Naona huyu jamaa kakuongezea dau, saivi unaingiza zaidi ya buku7
 
ifweero, simiyu yetu, victoire, thatha na wenzao nimegundua ni wazee tusiumize kichwa so akili zao zimeganda
 
Unataka na hii tuiunganishe kwenye ban? Ni kazi ndogo tu sema suu ufundishwe adabu na utii.

Nani amekwambia nilipigwa ban?

Toka nijiunge na JF mwaka 2013 Sijawahi kupigwa ban, maana nafuata sheria za JF ipasavyo.

Haya mabadiliko ya jina yasikuchanganye.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…