cardiologue
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 351
- 90
Mtoa mada kashaeleza vizuri, heading inajieleza kwamba dr slaa amechuja kisiasa.Ingekuwa wale wa magazeti ya udaku wangeweza kuwa na heading kama'Mchumba wa josephine Mushumbuzi kafulia kisiasa' hapo usitumie jazba kujibuSasa mkuu kuna hoja hapa kwenye mada hii? au kuchafua majina na umaaruf wa mtu. kuna hoja hapa? hebu tueleze hiyo hoja basi tuijadili.
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Mtoa mada kashaeleza vizuri, heading inajieleza kwamba dr slaa amechuja kisiasa.Ingekuwa wale wa magazeti ya udaku wangeweza kuwa na heading kama'Mchumba wa josephine Mushumbuzi kafulia kisiasa' hapo usitumie jazba kujibu
Mimi sio shabiki wa vyama vya siasa, ni mshabiki wa watu makini wenye kujali maslahi ya taifa....kipindi kidogo cha nyuma cdm ilikuwa moto wa kuotea mbali sababu ya umakini uliokuwepo,, mikutano ilikuwa na hamasa kubwa na vilikuwa vinashushwa vitu vya maana ndani ya mikutano ya cdm....mfano tu hii escrow saga ati mpaka sasa hivi hatuwajui wanufaika kupitia bank ya stanbic, kipindi kile tayari tumeshayajua kupitia dr slaa.Kipindi hiko Zitto kashika kanda ya magharibi, Mbowe anapasua kaskazini wakati dr slaa shaaaa mwembe yanga ndani ya daresalama.Ilikuwa ni combination ya hataree tofauti na hawa vijana wa sasa hivi mara kaeni kwenye tv muone nitakachofanya bunge likianza, kubali ukatae speed imepungua.Jaziba inasababioshwa na hoja za hovyo, za kizushi kwa watu makini, bora na wenyewafuasi wengi.
Huhitaji diploma kuelewa habari hiyo ya kutunga na uzushi, majibu ya uzushi na kupaka matope mtu wa kundi flani
tegemea matusi, na majibu ya hovyo-Maana msingi wa hoja ni fitina na uzushi tena kumchafua mtu bila vigezo vya
msingi na majibu yatakuwa hivyohivyo ya kizushi nk. usitegemee majibu ya maana kwenye hoja za uzushi na uwongo.
Bahati yako unajificha kwenye ID feki.Kama unajiamini,tumia jina halisi kama mimi halafu urejee maneno yako haya
Kipenzi cha watanzania kupitia UKAWA ni Lipumba!
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Duh huna hoja nyingine zaidi ya Slaa?ukweli ni kwamba slaa hana mvuto tena. anabebwa na historia. hana jipya
Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!
Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?
Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?
Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?
Umesikia kutoka wapi au umekalia umbea hapo ulipo!Ni kweli huyu babu kapoteza mvuto, nasikia mwakani atagombea UWENYEKITI CHAMA CHA WALEMAVU.
Unataka na LB7 Wenzako wenye mtindio wa Upeo!tunataka ajue kabisa
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Mimi sio shabiki wa vyama vya siasa, ni mshabiki wa watu makini wenye kujali maslahi ya taifa....kipindi kidogo cha nyuma cdm ilikuwa moto wa kuotea mbali sababu ya umakini uliokuwepo,, mikutano ilikuwa na hamasa kubwa na vilikuwa vinashushwa vitu vya maana ndani ya mikutano ya cdm....mfano tu hii escrow saga ati mpaka sasa hivi hatuwajui wanufaika kupitia bank ya stanbic, kipindi kile tayari tumeshayajua kupitia dr slaa.Kipindi hiko Zitto kashika kanda ya magharibi, Mbowe anapasua kaskazini wakati dr slaa shaaaa mwembe yanga ndani ya daresalama.Ilikuwa ni combination ya hataree tofauti na hawa vijana wa sasa hivi mara kaeni kwenye tv muone nitakachofanya bunge likianza, kubali ukatae speed imepungua.