Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
UKAWA kumpata mgombea ni shughuli pevu, udini utachukua nafasi kwa kiasi kikubwa.

Mkuu thatha mwaka huu lazima pachimbike itakuwa ni chadema vs Cuf na Dr Slaa asipo chagulowa kuwa mgombea ana hama chama kabisa
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanafiki sana,kila siku wanampigia debe Lipumba agombee ubunge ili wampitishe Slaa kinyemela
 
Kwani kusema ukweli kumhusu SLAA unalipwa, na nani akulipe, ili iweje?
 
anzishia mada hizo issue...ondoka kwenye hii thred....mbona unafuata nguo zako kwa kichaa ukiwa uchi?

Nilikuwa nauliza kwa nia ya kupata ufahamu pia kukushauri. Wanaosoma hapa wanaelewa umuhimu wa kujadili issues ili kupata suluhisho la matatizo ya wananchi. Utake usitake kujadili issues kuna manufaa zaidi kuliko kujadili watu. Lakini kama upo kazini kwa maslahi ya tumbo lako endelea kujadili watu mimi nahamia thread zingine kama ulivyoamuru.
 
mletaa mada lazimaa utakua na hitilafu kichwani mwako..tambua kichwa si kwajili ya kufugiaa nywele..katika watu tunaowaitaji kwa tanzania ya leo ni dr slaa..huwezi kunfananisha na rais anaejiumauma katika maamuziii...
 
uliuliza kinafki ndio mana
 

sasa kama kachuja si ndio vizuri ili mshinde kirahisi, sasa makelele ya nini?
 
Nachukizwa na watu wanaotukana humu ndani na wenye maneno ya shombo. .....ukombozi wa kweli unaanzia katika fikra zetu, tukubali challenge hata kama uzi unamuhusu mtu wako wa karibu jibuni kwa hoja sio kufata mahaba na mihemuko.Pamoja kwamba dr hana jipya kwa sasa, wanaoona ana jipya watueleze sio kushusha mitusi.
 

Sasa mkuu kuna hoja hapa kwenye mada hii? au kuchafua majina na umaaruf wa mtu. kuna hoja hapa? hebu tueleze hiyo hoja basi tuijadili.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi mbona nachangia kwa utulivu ila nikiona hapa kuna tatizo la akili lazima nishangae..!! Nani anafaa kuwa Rais sasa mzee wa Lumumba?? Maaana kipenzi cha watanzania ni Dr Slaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kipenzi cha watanzania kupitia UKAWA ni Lipumba!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…