Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Huyo shetani lazima atakuwa ni ndugu yake.
Shetani anaishi Makka ndugu zake unawajua.
Huyo shetani lazima atakuwa ni ndugu yake.
Achananae huyu msukule hayo ndio aliyokuwa anakalilishwa na Padri Sixtus Kimaro viwanja vya chuo kikuu.
Mwongo ni yule aliyekuahidi Mahakama ya Kadhi. Ukachekelea kama zuzu. Ukala pilau lake. Mwishowe kakuchinjia baharini. Hakuna kadhi wala dalili ya kadhi...dadeki!
Ebu iulize misukule yake wana ratiba kamili
CC: Mwita Maranya,Molemo,Ben Saanane,Mzito Kabwela et el
Hii ziara ya Dr.Slaa inajulikana JF tu huku mtaani wala hakuna anayejua.
Sasa babu ameenda kama nani au mawe anayapenda? na watamkunguta kweli kweliShetani anaishi Makka ndugu zake unawajua.
Vipi kile kipimo chako cha wapenda ngono huku kwetu Kisiju watu wanakiulizia hawaamini kijana mdogo kama wewe umejaaliwa nachoNa Alhaji Kikwete amekaririshwa kama hayo hayo na Askofu wa Katoliki, Ngalalekumtwa
Shetani anaishi Makka ndugu zake unawajua.
mtaani wapi we zuzu?
ina maana we unaishi mitaa yote ya nchi hii
Mkuu Mzito Kabwela umemuelemea sana huyu team lumumba buku saba fc. Hebu muache kidogo walau akachukue posho yake ya leo!
huo umoja wa vyuo vikuu unaitwaje??
Hii ziara ya Dr.Slaa inajulikana JF tu huku mtaani wala hakuna anayejua.
Leo misukule mnacheka kwa kuwa master a.k.a shifo wa misukule anarudiHahahaaa sawa mkuu Mwita Maranya
Leo misukule mnacheka kwa kuwa master a.k.a shifo wa misukule anarudi
Teh teh teh! Utanipasua mbavu kamanda.Vipi kile kipimo chako cha wapenda ngono huku kwetu Kisiju watu wanakiulizia hawaamini kijana mdogo kama wewe umejaaliwa nacho
Bavicha sounds...mtaani wapi we zuzu?
ina maana we unaishi mitaa yote ya nchi hii
Bavicha souds haya nenda ufipa kachukue viroba vyako.Acha uongo we msukule wa team lumumba. Hapo mtaa wa lumumba mnajua ratiba nzima ya siku ya kuondoka Dar hadi mahali alikotembelea na nini alichokiongea huko alikotembelea. Pia mtaa wa lumumba mnafahamu ni lini anarudi na ndege atakayosafiri nayo na muda atakaotua nchini!