Ni aibu kwa mtu mzima kupata nafasi ya kutoa mawazo ya kujenga halafu unachofikiria ni kubomoa. Kwa sasa taifa letu linahitaji zaidi madaraja kuliko kuta!! (we need to build bridges and take down walls that separate us).
Na kama imani yako ni kuwa ziara ni kusomea urais basi JK anapswa kuwa rais bora kuliko wote. Sitaki kuamini kuwa unamaanisha pia alikwenda kujifunza kubembea huko Jamaica.
You are punching well below your weight!! Grow up and be exemplary!