Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Msigwa ndio alikula sio mimi, lakini najua atalipa tu

Upo ushahidi wa picha na maandishi Mchungaji Msigwa akimkabidhi mjane wa Mwangosi rambirambi takribani sh.1.8m kutoka kwake mwenyewe, wakazi wa Iringa na wanachama wa Chadema UK.

Fedha uliyoichangisha wewe hakuna ushahidi wowote wa maandishi ama picha kuonyesha kama ulizikabidhi kwa maggid Mjengwa au Maggid akizikabidhi kwa Mchungaji Msigwa kama unavyoropoka.

Kilicho wazi ni kwamba ulichangisha fedha zaidi ya sh.5m kutoka kwa watanzania waishio UK lakini ukatia ndani zote.

Kama kweli hujala rambirambi ya mjane wa Mwangosi leta ushahidi wa maandishi au picha kuthibitisha kuwa ulizifikisha kunakohusika kama tulivyoona ushahidi kutoka kwa mchungaji Msigwa na bank slip ya Mjengwa.

Cc Lunyungu
 
Last edited by a moderator:
Ndio umesema nini na kiingereza chako cha shule ya kata. Kama study tour ina impact yoyote kwenye utendaji basi Slaa si wa kwanza. By the way, Slaa is an old dog can not catch new order. Take it from me.

Katka wendawazimu wa karne we ni uheshimiwa.
 
Mkuu haya matusi yako iko siku nitakujibu halafu utaniona mmbaya, anyway, kwako ni lazima umtetee Dr Slaa kwa sababu alikusaidia kupata mtoto ambaye kwa heshima ya kukusaidia ukaamua kumuida Slaa jr. Kama unahitaji mtoto mwingine niite na mimi nitakuletea ka LUKOSI JR. mimi sio kama babu sitakunyanganya nitakusaidia tu na kukuachia na ninaweza kukusaidia kutunza vile vile gwanda wee

Kwa akili yako ya panzi unadhani mimi naweza kutishwa na jitu bweege kama wewe!? Haya ndio madhara ya kula rambirambi.

Kama ungekuwa na uwezo wa kupata mtoto wala usingekuwa unalala sebuleni kwa dada yako. Au unataka kututhibitishia kuwa unalala sebuleni na familia yako yote?

Hivi mimi kusaidiwa kupata mtoto na wewe kumsaidia majukumu ya ndoa dada yako lipi unaliona gumu na lipi jepesi?
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Kaka unahitaji kujitambua kwanza wewe mwenyewe kabla hujataka utambuliwe,kiongozi lazima aandaliwe na ajiandae yeye pia kwani uongozi si kama makalio kwamba kila mtu anayo,Mr Dhaifu mlimwandaa tangu 1995 mkisema bado mdogo na yeye akakiri kwamba amejiandaa kwa takribani miaka kumi,Kama utakuwa mkweli wa nafsi yako do you think ukilimlinganisha na contestants wenzie wa uraisi ndani ya chama alistahili au alikuwa kashaandaliwa?
Lakini pia kama haitoshi juzi star tv Mh Sita alisema huwezi toka from nowhere kuja kugombea uraisi ie hujulikani,husikii hata ukitajwatajwa juu ya nafasi hiyo nk so kwa sasa tukubali tukatae Dr Silaa ndiye Baba lao katika mchakato huo!

Lakini pia kaka kujifunza hakuna mwisho na wanasema uongozi wa mazoea haufai bali penda kujifunza kila siku hasa kwa waliofanikiwa!
 
Sometimes we Ought to learn from Nonsense and Useless thread like this ones of my colleague " idle thinker". Intellectual believes in Learn Good Practices from Others and Emulate if Need So. What Makes them ( US & EU) to be there...and, What hinder us Africans with abundant of natural resources is what Prospectus leaders a researching through what you don't know "Leadership learning study tour"
Lukosi pamoja na kuishi nje ya nchi lakini mpaka leo hatambui kuwa viongozi wenye maono ndio muda wao huu wa kujifunza na kutumia elimu wanayoipata kutengeneza sera za chama chao. Lukosi ni zigo kwa chama chake kwani hawezi hata kuchangia mawazo ya kukijenga chama chake.
 
Kwa mawazo yako hivi uraisi unasomewa? Chuo gani kinatoa digrii ya uraisi! Je Kikwete raisi wako alienda chuo hicho? Kuwa gt!
 
Ndio umesema nini na kiingereza chako cha shule ya kata. Kama study tour ina impact yoyote kwenye utendaji basi Slaa si wa kwanza. By the way, Slaa is an old dog can not catch new order. Take it from me.
; The point remain valid whether my english is awkward kama ya mamayako lakini ukweli uko pale pale..CCM ni Jibwa lisilokuwa na Meno kwa sasa haliwezi Kung'ata.Fu..nk.. you man.
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Peleka hela uliyoiba kwa mjane wa Mwangosi.Hii dhambi itakutafuna mpaka uingie kaburini.
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Itakuwa ni vizuri akapate darasa la kuwa rais bora kuliko hawa ambao tumekuwa nao muda mrefu maana wameshindwa kujua Tanzania ina hitaji nini na watanzania tunahitaji nini. Acha asome ili aje atufundishe namna bora ya kuondokana na umasikini na ufukara mliotusababishia nyie majangili wa ccm.
 
We mhehe au mchaga?sbb unatumia jina la katikati na wewe unajiita mhehe,au sbb wajomba ni wahehe,tumia jina ulilotumia UDSM...we mchaga

Kwani uhehe au uchaga ni jina? Mtu aliezaliwa Mufindi ndani huko, akakulia huko, akasoma huko na haujui mkoa wa K'njaro hata kidogo ni MHEHE... Bila kujali kama ni kabila la wajomba zake!!
 
Lukosi, yule demu wako uliyesema eti kabakwa kumbe ndiyo kazi zake yupo? nimedunduliza nauli nakuja huko nipigie pande kiongozi!!
 
Back
Top Bottom