Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Dr Slaa alienda kusomea urais Marekani?

Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

alienda study tour, hakwenda kusomea uraisi kwasbabu hata mtoto wa chekechea anajua uraisi hausomewi.
una swali lingine la kiutu uzima zaidi??
 
Hii rambirambi maanaa yaake nini?? Maana mimi sielewi...na mara nyingi huwa nalikuta kwenye thread zinazomuhusu CRISS LUKOSI.

....kuna malalamiko toka hapa London!!!!

....fedha alizokabidhiwa hapa London hazilingani na kiasi kilicho wakilishwa huko Bongo (Home)
 
Kwa nn ww umempendekeza lissu wengne wakimpendekeza Slaa unaogopa?
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Usilete ukabila wako, mtu makini mwenye uzalendo wa kweli na nchi hii wa kabila lolote watanzania wakiamupa kura za kutosha ni raisi,usilete ukabila wa wakenya tz
 
Lisu mpaka wazee wengi sana wakae kufanyia kazi kichwa chake ndipo iwe ahueni.

Obama-hug-0-400.jpg
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

barack-obama-hug.jpg
 
Unapoibuka tu kutoka hospitali lazima utatoa mpya. Ya chadema yanakuhusu nini?. Ulishafukuzwa kwenye chama kinachotakiwa kazana kumeza dawa, lakni sidhani kama utapata haueni kwasababu wewe ndio unayapokea na kuyasambaza yale yasiotakiwa.. Kazi unayo labda unaweza kupona riz akikamatwa....
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Alikwenda kufanya orientation kama maandalizi ya kuingia ikulu 2015
 
ha ha ha!
Na kashindwa mtihani.
Sijaona picha yake na Obama wala Kiongozi wa Republican huko US.
Sana sana kaenda kwa delayed overdue honey moon na muchumba wake.
 
Criss Lukosi mzee wa mikosi, pesa za marehemu tafadhali. Mjane anakuulizia huku Iringa. Pesa hizo zimisha kulaani ndugu yetu, wizi mpaka kwa mjane
 
Ndugu zanguni,

Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?

Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?

Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.

Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,

TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...

JITAMBUE!

Bado (Lukosi) unasafiria basi la ukabila!!! Ukabila????
 
ha ha ha!
Na kashindwa mtihani.
Sijaona picha yake na Obama wala Kiongozi wa Republican huko US.
Sana sana kaenda kwa delayed overdue honey moon na muchumba wake.
Kuna picha alipiga nje ya fence za white house kama mtalii
 
Back
Top Bottom