Kinyamagala
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 154
- 29
Haya,maccm yako wapi?changieni uzi.
Upo Kigoma kwaaajili ya kuandaa mababgo na kuwashawishi vijana waandamane kumpinga Dr. Slaa ehh...Mkuu na wewe unaungana na hao vijna waliokosa mlezi? In short nipo kg kw mambo mengine sio kumpokea slaa mkuu
Sixgates mbona unatuacha hoi, umeenda kigoma kufanya kazi gani. Mbona toka asubuhi mpaka sasa uko jf unapost chuki na uzushi tu dhidi ya cdm. Ila roho inakuuma kwa jinsi watu wanavyokipenda chama na sio mtu.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
Picha mkuu
Huu utaratibu wa thread inawekwa picha zinaletwa kesho siupendi mimi
Mkuu mfikishie ujumbe huu dr slaa kuwa asiogope kwani nguvu ya nuru haiwezi kushindwa na giza,Ndio nimemaliza kumuombea Muda huu,Nimemfunika kote kote na damu ya Yesu dhidi ya Mishale yote ya yule mwovu mkuu wa giza... Vita Vyote dhidi yake vimekwisha kushindwa ... Ndamira yake ni njema kwa taifa letu. Mwambie kuwa Asome Andiko hili Isaya 54:17 17 "Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana."Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
Hakuna hata watu mm nipo Kigoma
Pimbi kweli kweli.Picha mkuu
Mkuu wewe si uko Kigoma nawe unaomba picha ? Au ni maneno ya njaa haoa JF ?
Kuna maswali ya kijinga! Ulitaka um-replace mkewe?
Stupid mind. Si hoja. sipo kigoma kwa ajili ya dr slaa, ni na other stuffs nafanya. Unajua nilipo? Au unafikiri kila alie kigoma yupo ilala..upuuzi huu kufikiri ukiwa kg you can access everything.
Mkuu, sikuelewi. Wewe ndio nikueleeze nimeenda kufanya nini kg??
Pimbi kweli kweli.
Wewe leo umesema upo Kigoma na vijana wanapanga kuandamana.
Tupe picha za maandamano.