sisi hatujui kaskazi wala kusi tunachojali ni mapokezi tofauti na fisi waliotuaminisha kwamba kuna hatari kigoma.Huko aliko Dr. slaa ni wilya ya Kibondo kwenye ngome ya NCCR -MAGEUZI, tusubiri afike kwenye jimbo la kigoma kaskazini na mjini
Rais wa wachawi? Si mumfuate alipojificha? Zimebaki siku .....afukuzwe kabisa akaanzishe chama cha waruka kwa Ungo.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene
hawachelewi kuweka ya mwaka juzi hao
Huko aliko Dr. slaa ni wilya ya Kibondo kwenye ngome ya NCCR -MAGEUZI, tusubiri afike kwenye jimbo la kigoma kaskazini na mjini
Anarekebisha mambo kwanza, yasijetokea kama ya Kahama ya picha za 2011.Nimewasiliana na makene anasema ataziweka tu hivyo usiwe na wenge....
kipindi cha nyuma hata akihutubia mwenyekiti wa kijiji picha zilikuwa zinawekwa Makene siku hizi unatumia simu ya kichina?
Dr Slaa ndiyo Tegemeo pekee la watanzania .
Aliongozana na mama Slaa?