Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,241
- 18,416
lazima waha wamnyofoe jicho
Kama waha ni zao la lumumba labda,yaani leo kigoma ni full shangwe,wanampokea shujaa wao,we endelea kujibu kila comment inayowekwa hapa, wewe ni kupe,hivyo endelea tu kunyonya damu ya mwisho mwisho maana ngombe ndio anachinjwa hivyoo.