Pimbi kweli kweli.
Wewe leo umesema upo Kigoma na vijana wanapanga kuandamana.
Tupe picha za maandamano.
Huyo sio pimbi tu bali ni sungura.
Pimbi kweli kweli.
Wewe leo umesema upo Kigoma na vijana wanapanga kuandamana.
Tupe picha za maandamano.
yupi huyo?Asije tu kuwa kaenda na sisimizi wake, watakwisha wote. Tuna hasira naye hadi basi, kisa cha kutuondolea raisi wetu?
hawachelewi kuweka ya mwaka juzi hao
Mipango sio maandamano. Sijui picha gan wataka.
Kuna maswali ya kijinga! Ulitaka um-replace mkewe?
Anarekebisha mambo kwanza, yasijetokea kama ya Kahama ya picha za 2011.
Jamaa wewe mkud.a sana;si umesema upo Kigoma ww? Sasa kwann usichukue hizo Pic?Picha mkuu
Stupid mind. Si hoja. sipo kigoma kwa ajili ya dr slaa, ni na other stuffs nafanya. Unajua nilipo? Au unafikiri kila alie kigoma yupo ilala..upuuzi huu kufikiri ukiwa kg you can access everything.
Asije tu kuwa kaenda na sisimizi wake, watakwisha wote. Tuna hasira naye hadi basi, kisa cha kutuondolea raisi wetu?
Ndugu yako iman hamza kondo yuko wapi leo??a.k.a zemarcopolo.
Ndugu yako iman hamza kondo yuko wapi leo??a.k.a zemarcopolo.
picha za nini?asiye amini aende kigoma akajionee mwenyewe.
Daktari pekee MNDENGEREKO duniani !