Ndy nnapogundua 6gts mnaa kasema yupo kigoma, tena anaomba aione si achukue yeye ndy aziweke hapa?
jamani mtu akisema yupo kigoma ni lazima awe eneo la tukio, huenda yeye yupo kibondo na Mhe Slaa yupo kigoma ujiji sasa wapi na wapi! hapo sipo upande wenu labda Apolinary atuambie yupo kigoma ipi ila kwa kigoma ninayoijua mimi ni kubwa kwa kweli