Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Kauli zimeanza kubadilika bado mtasema siyo kwenyekata aliyozaliwa Zitto baadae kijiji mwisho siyo nyumba aliyozaliwa Zitto...Chadema inachanja mbuga
Hakikisha akina MM na washikaji zao Magamba na mandata hawatumiwi kurusha bomu katika mikutano hiyo
 
Vipi camera ziligoma kupiga picha,we are not buying your words
 
Slaa+kuhutubia+Kahama+1..jpg

Kahama hapa, Uhuru limeandika eti alizomewa sana akiulizwa alipo Zitto
 
Weka picha haraka sana ili tuwazibe midomo
mamluki ambao kazi yao ni unafki maana
hiki chama sio lazima kila mtu akipende.

Ndiyo maana hasa ya vyama vingi
 
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene

Kumbe source ya habari ni huyo m'beba nguo za ndg. Slaa na mbowe, angeweka vithibisho kwa picha, propaganda hatutaki.
 
Last edited by a moderator:
weka zile picha zetu za uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 tuwadanganye mkuu.
 
kipindi cha nyuma hata akihutubia mwenyekiti wa kijiji picha zilikuwa zinawekwa Makene siku hizi unatumia simu ya kichina?
 
pamoja sana kamanda chadema ni mkombozi wa nchi hii vyama vingne viige maamzi magum ndo yanatakiwa ili tusonge moto ni uleule usirudi nyuma dr. tuko nyuma yako
 
Je first lady wetu yupoo! !!!!Kigoma hoyeeeeeeeeeeeeee hakatwi mtu hapa mwendo saresare
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom